Kuna mambo yanashangaza sana hapa chini ya jua
Kuna nchi zina watu wenye akili nyingi sana
wanaobuni na kufanya vitu ambavyo hakuna aliyewahi fikiri vinaweza fanywa na mwanadamu
Kuna nchi zina watu wenye akili ndogo sana wanaobuni na kufanya mambo ambayo hata kondoo hawezi Fanya
Je,ni sababu zipi zinachangia hiyo hali ya nchi moja kuwa na vipanga wengi huku nyingine ikitapakaa vilaza watupu ?