Muhimu: Tatizo hili lipo hata wakiwepo wazazi wote au baba pekee lakini kwa kwa single moms ni kiwango kikubwa zaidi na haimaanishi ni wote
Ni tofauti na zamani, haikuwa shida sana kwa kina mama kulea watoto hasa kimaadili na uwajibikaji.
Hali ya sasa imekuwa tofauti sana kwa single moms toleo la 90s kuja 2000s
Mama yupo nyumbani kavaa nusu uchi, ni tofauti na mama wa zamani walijua kujisitiri wakiwa na watoto
Imekuwa kawaida kukuta mtoto anaogeshwa au kulala kitanda kimoja na mama mpaka ana miaka 10.
Mama anaona ni sawa tu mtoto kucheza kama Zuchu, Hapo zamani unakaripiwa ukirudia fimbo.
Mtoto anakula chips mara kwa mara, nitofauti na zamani kina mama walipenda mtoto ale ugali ili awe na nguvu.
Wale kina mama wenye elimu kubwa na fedha athari zinaweza kuwa kubwa zaidi mtoto kupewa kila anachotaka, kulelewa kizungu kupitiliza, n.k.