Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
High class kiasi tuu homeboyMwanaume wa hadhi gani??
Kawaida kawaida Imperial
Middle lower rungu
Lower. Magadi
Always ingawa nataka new challengeMiaka kibao huwa natumia imperial tu naona iko sawa
Hii Harufu yake ipo naweza tumia kama alternative ya pafyumeKomoa
Umesema harufu nzuri??Ni sabuni gani nzuri ya kuogea mwanaume kwa ngozi pia na yenye Harufu nzuri sana
Nawasilisha
😂😂😂😂 Halufu yake sasaTafuta gwanji