Kinge mwanaharamu kweli…ur days are 'numbers'Magufu ur days are numbers
Kinge mwanaharamu kweli…ur days are 'numbers'
Jenga hoja
Kule maamuzi ni ya wanachama.Chadema ni mali ya Mbowe.
Hoja yangu,ongeza maarifa yako ya lugha, na ukikosolewa shukuru
Walionywa awakusikia kwamba katiba yao ni kitanzi Chao wakaweka pamba,waliambiwa waondoe kofia mbili wakaweka pamba leo wametukanwa,wamedhalilishwa,wamefukuzwa na mfumo ule ule walioweza ubadili walipokuwa na nafasi hawakusikia, makamba's wamesomeshwa namba wamebatizwa kwa moto wa makaa ya mawe wamepotea.Yaani upo sahihi kabisa ccm imekuwa ni ya mtu binafsi,akina mzee Makamba,Kinana,Membe wametukanwa na Msiba lkn wameishia wao kuomba msamaha,Membe ndio kaishia kufukuzwa kisa kuwa mkweli,leo ccm imekuwa ni watu ndio tu,tumsameahe Kinana ndio,tumpe azabuu ndio,hakuna wakupinga.
MnufaikaNi kawaida kuwa hivo chama kinapompata kiongozi sahihi mwenye maono ya kuivusha nchi kutoka tulikokuwa kwenye enzi za UFISADI, Vyeti feki, wafanyakazi hewa maESCROW nk nk hadi kufika enzi za kujenga nidhamu, uwajibikaji na maendeleo hadi kuifikisha nchi ilipo na World Bank kukiri TZ tunsonga mbeleeee!
Na ATAKE ASITAKE 2025 tutam-"putin" tu. Tusije tukaletewa akina FARU JOHN tukajuta.
Mtu makini au mmebanwa zamu yenu kusomeshwa namba mlifurahi Sana wapinzani kushughulikiwa hili bado trelaNi kawaida kuwa hivo chama kinapompata kiongozi sahihi mwenye maono ya kuivusha nchi kutoka tulikokuwa kwenye enzi za UFISADI, Vyeti feki, wafanyakazi hewa maESCROW nk nk hadi kufika enzi za kujenga nidhamu, uwajibikaji na maendeleo hadi kuifikisha nchi ilipo na World Bank kukiri TZ tunsonga mbeleeee!
Na ATAKE ASITAKE 2025 tutam-"putin" tu. Tusije tukaletewa akina FARU JOHN tukajuta.
Trump hakustahili walimpa tu sababu alisimamishwa na Clinton.The fate of CCM is similar to the fate of the Republican Party under Donald Trump!!! Hopefully, Donald loses in November and God willing the similarity will not end there!!!
Mkuu tatizo la nchi yetu haikuwa Upinzani. Tatizo ilikuwa ni CCM ya KIFISADI. Ndio maana 2015 mabango yaliandikwa chagua MAGUFULI na sio chagua CCM.Mtu makini au mmebanwa zamu yenu kusomeshwa namba mlifurahi Sana wapinzani kushughulikiwa hili bado trela