Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Dikteta amefanikiwa kukiteka chama
Ufisadi upi uliopiganwa.Si kwamba wanapambana na ufisadi bali wanatumia Vita ya ufisadi Kama fimbo ya kuwachapia wasiotaka kusujudia yaani kuwashughulikia wapinzani wao,tumeona dabo standard nyingi Sana kwa hili si geni.Mkuu tatizo la nchi yetu haikuwa Upinzani. Tatizo ilikuwa ni CCM ya KIFISADI. Ndio maana 2015 mabango yaliandikwa chagua MAGUFULI na sio chagua CCM.
Huyu jamaa kaja kufanya kazi ambayo upinzani ilikuwa inaulalamikia CCM. Ni kweli waathirika wakubwa wa serikali ya Magufuli ni wanaCCM ile ya KIFISADI. - Wapinzani wanapapaswa tu! sema wana makelele kuwashinda akina Kinana walioshughulikiwa HASA!
Zidumu fikra za mwenyekiti, asilia wote kwa pamoja zidumu.Mtu yoyote akihoji maamuzi ya Mwenyekiti anafukuzwa haraka sana
Lazima na katiba ya nchi atabadilisha kwa kisingizio cha maendeleo ambayo anayaona yeye na wateule wakeZidumu fikra za mwenyekiti, asilia wote kwa pamoja zidumu.
Hili ni trela na hata teuzi za wagombea maamuzi Nani agombee Nani asigombee ni ya mmiliki wa chama na sio wanachama,wao ni kupelekewa majina utake utamchagua utaki utamchagua.
Baada ya kuwashughulikia wapinzani Sasa ni zamu ya maccm
Kinga ya kutoshtakiwa, ikulu mpyaLazima na katiba ya nchi atabadilisha kwa kisingizio cha maendeleo ambayo anayaona yeye na wateule wake
Hizi kinga zao tutakuja kuzifuta siku mojaKinga ya kutoshtakiwa, ikulu mpya
,Kuuwa upinzani, vipaumbele vya teuzi wahamiaji na waimba kwaya unganisha dots jibu unalipata
Siyo huzuni tu, angalia ukurasa wa tatu wa gazeti la mwanachi la tarehe 11/07/2020 uone jinsi wengine walivyotoa majozi kabisa kwa kuburuzwa na Jiwe.Chama amekikamata kisawasawa lakini pia naona vikao vyenyewe havina mvuto jana nilifuatilia nilivyowaona wajumbe ukumbini wengi walijawa na huzuni