Ni sahihi kigezo cha kusoma private schools hasa za gharama kutumika katika kutoa mikopo ya bodi ?

Ni sahihi kigezo cha kusoma private schools hasa za gharama kutumika katika kutoa mikopo ya bodi ?

Kuna njia halali za kudai haki bila kupigana, tatizo la Tanzania hata mkiandamana kwa amani bila kufanya fujo, Polisi wakifika wanaanza kipigo badala ya kulinda tu amani na kusikiliza wananchi wanasemaje, waanzilishi wa ugomvi bongo ni serikali sio wananchi.. Mjinga anakuja na kusema "na wapigwe tu" hivi amnesty international imelala au ni wabongo wamelala? We need peace ila tutafanyeje, ukaaji kimya ndio unafanya wajione wana nguvu zaidi wanaendelea kuweka hela mfukoni, these guys are rich bna, ni zaidi ya unavofikiria, they got great houses, big cars nje ya nchi, n they keep lots of money, we mshahara rais wa bongo anataka amfukuzie Obama wapi na wapi? compare all american states zaidi ya 50 na mbongo anayerun sawa na state moja tu afu mishahara ikaribiane does t make sense?

Unayoyasema ni kweli lkn sasa kama uivyosema wanamijumba nje ya Tanzania, sasa huoni kwamba kupigana kutatuathiri sisi walalahoi ambao hatuna hiyo mijumba huko nje? Maana kukitokea vurugu wao haoooo faster wanakwea pipa na kutokomea huku wakituacha sisi tukiuana.

Hebu tazama nchi zenye machafuko unakuta viongozi hawaathiriki hata kidogo wao na familia zao, wanaoathirika ni wengine kabisaaa, tena wao wanaendeleza uchochezi wakiwa huko mafichoni. Kweli hii hali ya umasikini tulionayo inakera sana lakini tutafute njia mbadala bila kumwaga damu naamini muda bado tunao wakuleta mabadiliko kwa njia ya amani
 
Mkuu mimi ni mpenda amani namba moja, na ndio maana nilisema kuna means za kupigania haki angalau bila kuinvolve vita, ila still hizo means pamoja na kwamba ni legal hawa jamaa watakusakua waku-mute tu, mfano huyu anayesema "na wapigwe" unajua ingekua nchi za watu wananchi wangekua washagoma, watu wangekua washamshtaki hadi Amnesty international kwa kukiuka human rights, power wanayopewa jeshi la polisi nchini ni kubwa sana, mimi kaka yangu alikamatwa anapanda ukuta wa nyumba yake mwenyewe ka ukuta kadogo sana hata sio uliokamilika, ni kale ambako kiuswazi kanatumika kama geti, wakamvuta kwa nguvu mno wanamfunga pingu mikononi na miguuni kama gaidi vile, akalala jela, kumwita mkuu wa wale jamaa na kumweleza anasema nina usingizi naenda kulala... Hivi ukikaa kimya kwenye hali kama hii unasema unapenda amani unapenda amani, these kind of people wapo nchini tutaenda wapi?? nchi za watu bna zina maendeleo, magep makubwa mno, nimeenda nje hata kashule kadogo tu kaserikali ka kijijini kana water dispenser kila kona, na hiyo ni nchi ambayo ziwa hakuna wanategemea sources ndogo ndogo... bongo maji mziki, nimesoma special school advance maji ya kunywa unaenda DH unaambiwa leo maji hakuna, nchi maji mengi hivo yameenda wapi? tukisema amani amani, hawa jamaa wamefumbia macho haya,
 
Kweli wanakera sana, yani mtu haki yako inabidi uinunue, bila kitu kidogo huipati, ni majanga matupu. Ila mimi nahisi hili ni tatizo la nchi za Africa sidhani hata kama tukibadili uongozi kutakuwa na mabadiliko, ninavyotazama hizi siasa zetu naona wengi wa hawa wanasiasa ni wachumia tumbo, wengi wao wapo kimaslahi binafsi japo wanatulaghai tuwaone wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa.
 
if you need loan you should select priority program iwapo nao huwa wanakosa but just think globally ktk hili this year many people who have studied private schools they got loan mengine n maneno 2 but accountability is nothing,,,,,serikal vs wazazi vs wanafunzi should negotiate 2 each other so as 2 improve and supporting a student for his/her studies,,not otherwise
kuna watu wamechagua priority program na ni single parent hata huyo mzazi aliyepo hana kazi ya kumwingizia kipato maalumu na wapepata
0% na kuna wengine wamechagua non-priority wamepata
50-60% is it fair?
 
That assumption is wrong. Unatakiwa ufanye analysis kujua huyo aliyekuwa anamsomesha bado anao uwezo? Yupo hai? alikuwa wa kudumu, au kwa kuunga unga, ni mzazi au marafiki na wasamalia wema? Kumbuka miaka toka kindergarten mpaka form six ni miaka 17 usitegemee mtu atakuwa na uwezo huohuo, wakati kuna mambo chungu tele ikiwamo kipato kupungua, kutokana na kustaafu, redundance, ukomo wa wasamalia wema na wahisani, inflation wategemezi kuongezeka, biashara kufa n.k. Just kuona kuwa mtu kasoma Private huyo ana uwezo, is absolutely wrong.
Kwanza nakubaliana na mleta mada kuwa ni haki ya kila mwanafunzi kupata mkopo. Lakini kwa sasa bodi haina uwezo wa kumpa kila 1 mkopo kutokana na vyanzo vyake duni. Ktk mazingira hayo mikopo inatolewa kwa wanaoitaji zaidi. Kufanya hivyo ilibidi bodi watengeneze jinsi ya kupima uwezo ndio wakaja na means test yenye vigezo k1wapo ni kusoma shule ya kulipia ktk elimu ya chini. Of which its very fair kwamba kama uliweza kusoma private school wazazi wako walikua na means kwahiyo it is assumed kuwa wataweza kukulipia na chuo. Ikumbukwe kuwa kuna vigezo zaidi ya kusoma private ikiwa ni pa1 na kuwa na wazazi wote 2, kazi za wazazi n.k.
 
Back
Top Bottom