Sword
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 864
- 183
Kuna njia halali za kudai haki bila kupigana, tatizo la Tanzania hata mkiandamana kwa amani bila kufanya fujo, Polisi wakifika wanaanza kipigo badala ya kulinda tu amani na kusikiliza wananchi wanasemaje, waanzilishi wa ugomvi bongo ni serikali sio wananchi.. Mjinga anakuja na kusema "na wapigwe tu" hivi amnesty international imelala au ni wabongo wamelala? We need peace ila tutafanyeje, ukaaji kimya ndio unafanya wajione wana nguvu zaidi wanaendelea kuweka hela mfukoni, these guys are rich bna, ni zaidi ya unavofikiria, they got great houses, big cars nje ya nchi, n they keep lots of money, we mshahara rais wa bongo anataka amfukuzie Obama wapi na wapi? compare all american states zaidi ya 50 na mbongo anayerun sawa na state moja tu afu mishahara ikaribiane does t make sense?
Unayoyasema ni kweli lkn sasa kama uivyosema wanamijumba nje ya Tanzania, sasa huoni kwamba kupigana kutatuathiri sisi walalahoi ambao hatuna hiyo mijumba huko nje? Maana kukitokea vurugu wao haoooo faster wanakwea pipa na kutokomea huku wakituacha sisi tukiuana.
Hebu tazama nchi zenye machafuko unakuta viongozi hawaathiriki hata kidogo wao na familia zao, wanaoathirika ni wengine kabisaaa, tena wao wanaendeleza uchochezi wakiwa huko mafichoni. Kweli hii hali ya umasikini tulionayo inakera sana lakini tutafute njia mbadala bila kumwaga damu naamini muda bado tunao wakuleta mabadiliko kwa njia ya amani