Ni sahihi kubebeshwa handbag ya mpenzi/mkeo?

Ni sahihi kubebeshwa handbag ya mpenzi/mkeo?

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Please discuss..........

˙ɐʇnʞıuɐɥsɐʎ nuǝzuǝʍɯ nqɐqɐs ɐʍʞ ɐzıןnɐu

kenya.jpg
 
Sahihi kwa nani?

Kwako wewe. . . SIJUI.
Kwa wengine. . . NDIO.
Na baadhi. . . . .HAPANA.
Kwangu. . .HAMNA TATIZO ila niwe nimezidiwa mizigo.
 
Ni makubaliano tu.....hivi Ngabu kaka we unaambiwa kama unataka kweli beba pochi twende utaacha kubeba pochi?????
 
una maana gani unaposema kubebeshwa? Unajua lina maana tofauti kabisa na kubeba????!!!
 
Ni makubaliano tu.....hivi Ngabu kaka we unaambiwa kama unataka kweli beba pochi twende utaacha kubeba pochi?????

Kama nataka nini? K? Kwani ukikosa K utakufa? Na K zilivyojaa hivyo yaani tuanze kutishiana mambo ya kunyimana? Hakuna hiyo...man laws lazima zizingatiwe, ziheshimiwe, na zifuatwe.
 
Ni makubaliano tu.....hivi Ngabu kaka we unaambiwa kama unataka kweli beba pochi twende utaacha kubeba pochi?????

Mm sio NN lakini km ningekua mwanaume sibebiiii alaaah kwani du2 inapatikana kwake tuuu???
 
Unaweka mgomo wa kubeba pochi na wewe unawekewa wa chumbani.

Noted.......hapo bana hata pad nafitisha tu kwa pant kwani nin banaa....si ndo inamfurahisha na mi sikatiki vidole
 
Why not Boflo? ila mtu wangu akisema anaona so basi simpi.
 
Last edited by a moderator:
Kama nataka nini? K? Kwani ukikosa K utakufa? Na K zilivyojaa hivyo yaani tuanze kutishiana mambo ya kunyimana? Hakuna hiyo...man laws lazima zizingatiwe na zifuatwe.

Thank youuuuuu.....boraaaaa uwiiiii sipendi huu ujinga wallaih mm mwanaume marufuku kubeba pochi yangu labda niwe mgonjwa sijiwezi!na hapo dada/mama yangu asiwepo karibu tuwe wawili tu labda
 
Back
Top Bottom