Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is man law violation.
Acha hizo. . .kwani nini kinakuwa violated?
Man law inakuwa violated. Wewe huzijui man laws. Au unazijua?
Unaweka mgomo wa kubeba pochi na wewe unawekewa wa chumbani.Ni makubaliano tu.....hivi Ngabu kaka we unaambiwa kama unataka kweli beba pochi twende utaacha kubeba pochi?????
Ni makubaliano tu.....hivi Ngabu kaka we unaambiwa kama unataka kweli beba pochi twende utaacha kubeba pochi?????
Ni makubaliano tu.....hivi Ngabu kaka we unaambiwa kama unataka kweli beba pochi twende utaacha kubeba pochi?????
Kwa hilo nakubali ila mh inataka moyo kiasi....sema sio kawaida sana na inashusha hadhi kidogo kwa mwanaumeMimi sioni shida kumsaidia mpenzi wangu handbag............... Actually its romantic.
Unaweka mgomo wa kubeba pochi na wewe unawekewa wa chumbani.
Mm sio NN lakini km ningekua mwanaume sibebiiii alaaah kwani du2 inapatikana kwake tuuu???
Kama nataka nini? K? Kwani ukikosa K utakufa? Na K zilivyojaa hivyo yaani tuanze kutishiana mambo ya kunyimana? Hakuna hiyo...man laws lazima zizingatiwe na zifuatwe.