Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Mathalani kujiua kwa kunywa sumu au kumdhuru mwingine kwa sumu, kujinyonga, kumdunga mtu au kujidunga kisu mwenyewe kwajili tu ya mapenzi.
Kumpiga mtu rungu au kumpiga mwingine kwa kitu kizito au risasi..
Ni ngumu kuvumilia changamoto za kwenye mapenzi lakini inawezekana kuziepuka na kuishi kwa amani kabisa.
Ni muhimu zaidi kua na alternatives au options ambazo zitakuepusha kuchukua uamuzi wenye hitimisho la kujidhuru na kujidhulumu uhai wako au uhai wa wengine.
Usiwe mtu wa kujiapiza na kua na maagano yenye hitimisho la kujidhuru mwenyewe, mathalani, kwamba nikimkosa fulani au akiniacha siwezi kuishi, bora nisiwepo duniani n.k.
Jitenge kujiuliza maswali mazito ya changamoto, yaliyokulemea na kujijibu mwenyewe, tafuta majawabu hata kwa marafiki zao, matokeo ya hatua za kuiuliza na kujijibu mwenyewe, hua ni mbaya sana, ikiwa ni pamoja na kujidhuru lakini pia kujidhulumu, kana kwamba hilo ndilo suluhisho au jawabu muafaka dhidi ya changamoto unayoipitia.
Je,
nisahihi kujidhulumu uhai wako ama wa uhai wa mwingine kwasabu ya mapenzi?🐒
Mungu Ibarki Tanzania