Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Sasa wewe ndio una mawazo ya Kipekee kabisa... (Duh Fashion hadi Sanduku)?!!!Huu mtindo wa kujiandalia vifaa vya mazishi unaanza kushika kasi, kuna mama mmoja hapa tayari kajinunulia sanda, pamba na pafyumu kitu ambacho kimeleta kizaazaa kwenye familia yake akionekana anajichuria kifo na kuzusha minong'ono kwa familia yake wakihoji kwani ameona familia yake haitanunua hivyo vifaa atakapofariki dunia? Ajabu ni pale mtu atakapojinunulia sanduku la kuzikiwa halafu lije lipitwe na fasheni na ubora
Je nchi gani kuwa kufanya hivyo ni makosa?!!kwani kwa Tz hapa sio kosa kisheria, na watu wengi tu wameshafanya hilo.Kila jambo ni sahihi isipokuwa linapingana na mamlaka ya nchi au eneo husika
Hii dhana ya kujinunulia majenezo au kujijengea makaburi kabla ya kifo chako, kwa kisingizio eti ukifa usije kusumbua watu katika michango.
Hii imekaaje wakuu? Ni sawa kufanya hivyo?
According to?sio sahihi
Ulishanunua tayari?Ni sawa tu
Inaitwa nyumba ya mileleMuadhama Polycarp Cardinal Pengo naadhani ana kaburi lake pale Pugu, labda tumuulize yeye