Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Hiyo imekaa vizuri, ila sijajua urasimu wake ukoje pindi tatizo linapotokea.Siku hizi hata BIMA ya maisha ipo tu, ni wewe kuamua kujilipia BIMA yako na familia yako endapo kifo kikikupata.
Mfano CRDB bank kupitia ALLIANCE wana BIMA ya maisha, unachangia 48,000 kwa mwaka unakuwa guaranteed wewe na familia yako mwaka mzima, likitokea jambo they take care of the costs... around 10,000,000 akifa mume, 5,000,000 akifa mke na watoto 3,000,000.
Mambo yanaenda kasi sana duniani.