Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Wanavyonunua kuna madhara yoyote?sio sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanavyonunua kuna madhara yoyote?sio sahihi
Sijui ni kitu gani kilichomsukuma kufanya hivyo?Angalia huyu hapa Equation x alichofanya 👇🏿.
Wachaga, huu utaratibu wa kujenga kaburi kabla ya kufa umeanza lini?
Nimeshtushwa kidogo kutoka kwa huyu ndugu Kimaro. Mkoa wa Kilimanjaro, katika kijiji cha Mbosho, wilayani Machame, kutana na Patrick Kimaro, mwenye umri wa miaka 59, ambaye amejingea kaburi lake. Kimaro amesema ni sehemu tu ya kujiandaa na maisha ya baadae na kuongeza kusema amefanya hivyo...www.jamiiforums.com
Sina pesa za kuchezea mimi.😃😃, kiufupi sina pesa. Nikifa watagharamikia wengineUlishanunua tayari?
Ila ni KABURI kama mengine sema ye kajiwahia spaceInaitwa nyumba ya milele
Unataka ututese sisi kwa michango?Sina pesa za kuchezea mimi.😃😃, kiufupi sina pesa. Nikifa watagharamikia wengine
Yaani mtajua wenyewe..mkitaka msinizike ni sawa piaUnataka ututese sisi kwa michango?
Inahitaji ujasiri kufanya hivyo?Ila ni KABURI kama mengine sema ye kajiwahia space
Ulikuwepo....???Hata Yesu alizikwa kwenye kaburi lililoandaliwa in advance japo halikuwa lake
Mkuu kama umejiandaa vya kutosha, familia ipo njema na Ac. Inasoma na unaona ushazeeka au unaumwaumwa na la MSINGI unauhakika na unapoenda baada ya kufa.Inahitaji ujasiri kufanya hivyo?
Fungua na usome replies, wanaofahamu wamesema na hata yeye kaongea.Sijui ni kitu gani kilichomsukuma kufanya hivyo?
Kabisaaa hata hawawazi Ukiliwa na samaki kama yona jeSina pesa za kuchezea mimi.😃😃, kiufupi sina pesa. Nikifa watagharamikia wengine
😀😀😀 watazika nguo zakoKabisaaa hata hawawazi Ukiliwa na samaki kama yona je
Wanavyonunua kuna madhara yoyote?
kuna vipimo vya mwili wa upcoming maiti vinachukuliwa???Kama si kosa kisheria na kijamii sio tatizo, itasaidia kubebesha watu gharama za mazishi, ikiwezekana waweke na bank pesa kabisa za kugharamia maziko.
Mila na destruri zetu , haiko sawa. Ni mambo ya kuiga destruri za watu wengine.Hii dhana ya kujinunulia majenezo au kujijengea makaburi kabla ya kifo chako, kwa kisingizio eti ukifa usije kusumbua watu katika michango.
Hii imekaaje wakuu? Ni sawa kufanya hivyo?