Ni sahihi kulala na ex wako mara ya mwisho kabla ya kuolewa/kuoa?

kibaigwa finest

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2026
Posts
411
Reaction score
445
Wadau tumpe ushauri huyu binti

Mimi ni msichana bado miezi 2 niolewe. Ex wangu ambaye tuliachana vizuri (sio ugomvi) ameniomba tuonane mara ya mwisho kama marafiki. Anasema anataka kunipa baraka zake na kunikumbatia kwa mara ya mwisho.

Ukweli moyo wangu bado unamuona, sio kama mume wangu mtarajiwa. Naogopa nikimkatalia nitajutia maisha yangu yote, na nikikubali naweza kuharibu ndoa yangu kabla haijaanza.

Rafiki yangu ananiambia "Lala naye mara ya mwisho ufunge chapter vizuri, hakuna mtu atajua". Lakini dhamiri inaniuma.

Wadau mnashauri nini? Hii ni sahihi kisaikolojia? Ni closure au ni mtego wa shetani?
 
Kazi Ipo!! Ndio hawa wana olewa ili kuonesha jamii wako ndoani, ili hali dhamira na nafsi zao haziko hapo.

Matokeo yake Ni "paah, paah, paah" jamii uliyotaka kuiridhisha inakufukia ardhini na tani 40 za udongo.

😂😂😂😂
 
Halafu muoaji hapo atakuwa anacheka cheka siku ya harusi na kupungia pungia watu kama zezeta.
 
Wadau tumpe ushauri huyu binti

Mimi ni msichana bado miezi 2 niolewe. Ex wangu ambaye tuliachana vizuri (sio ugomvi) ameniomba tuonane mara ya mwisho kama marafiki. Anasema anataka kunipa baraka zake na kunikumbatia kwa mara ya mwisho.

Ukweli moyo wangu bado unamuona, sio kama mume wangu mtarajiwa. Naogopa nikimkatalia nitajutia maisha yangu yote, na nikikubali naweza kuharibu ndoa yangu kabla haijaanza.

Rafiki yangu ananiambia "Lala naye mara ya mwisho ufunge chapter vizuri, hakuna mtu atajua". Lakini dhamiri inaniuma.

Wadau mnashauri nini? Hii ni sahihi kisaikolojia? Ni closure au ni mtego wa shetani?
Sio mara ya mwisho, hata baada ya ndoa mnakutana kwa maficho, labda kama ex amefariki.
 
Back
Top Bottom