Ni sahihi kulala na ex wako mara ya mwisho kabla ya kuolewa/kuoa?

Ni sahihi kulala na ex wako mara ya mwisho kabla ya kuolewa/kuoa?

Wadau tumpe ushauri huyu binti

Mimi ni msichana bado miezi 2 niolewe. Ex wangu ambaye tuliachana vizuri (sio ugomvi) ameniomba tuonane mara ya mwisho kama marafiki. Anasema anataka kunipa baraka zake na kunikumbatia kwa mara ya mwisho.

Ukweli moyo wangu bado unamuona, sio kama mume wangu mtarajiwa. Naogopa nikimkatalia nitajutia maisha yangu yote, na nikikubali naweza kuharibu ndoa yangu kabla haijaanza.

Rafiki yangu ananiambia "Lala naye mara ya mwisho ufunge chapter vizuri, hakuna mtu atajua". Lakini dhamiri inaniuma.

Wadau mnashauri nini? Hii ni sahihi kisaikolojia? Ni closure au ni mtego wa shetani?
Vitu vingine haviitaji hata ushauri, jinga jabisa
 
Huyo rafiki anataka kuharibu kwa ushahidi. Ukienda kulala kwa x nae anamtonya mumeo mtarajiwa. Yakishaharibika mnabaki kuchekana
 
Hebu angalia huyu mzinifu anavyoenda kufanya maisha ya jamaa a living hell hiyo endapo jamaa ni innocent.
Ila kama jamaa naye ni mzinifu, hiyo itakua wazinifu wamefunga ndoa, like two peas in a pod.
Either way you can only imagine trajectory ya malezi ya watoto watakaopata
Uzinifu ni corruption and a source of despicable evil to humanity.
 
Mimi ni msichana bado miezi 2 niolewe. Ex wangu ambaye tuliachana vizuri (sio ugomvi) ameniomba tuonane mara ya mwisho kama marafiki. Anasema anataka kunipa baraka zake na kunikumbatia kwa mara ya mwisho.
Unachotaka kufanya ndio alikifany bi harusi mtarajiwa.
1793121147345.png
 
Pah...! Pah....! pah...!
Jamii ianze kutuona wakorofi
 
Back
Top Bottom