kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
Unapenda kuchangia story za kutomberner kama Salome yani.Kazi Ipo!! Ndio hawa wana olewa ili kuonesha jamii wako ndoani, ili hali dhamira na nafsi zao haziko hapo.
Matokeo yake Ni "paah, paah, paah" jamii uliyotaka kuiridhisha inakufukia ardhini na tani 40 za udongo.
ππππ
Halafu muoaji hapo atakuwa anacheka cheka siku ya harusi na kupungia pungia watu kama zezeta.Kazi Ipo!! Ndio hawa wana olewa ili kuonesha jamii wako ndoani, ili hali dhamira na nafsi zao haziko hapo.
Matokeo yake Ni "paah, paah, paah" jamii uliyotaka kuiridhisha inakufukia ardhini na tani 40 za udongo.
ππππ
Sio mara ya mwisho, hata baada ya ndoa mnakutana kwa maficho, labda kama ex amefariki.Wadau tumpe ushauri huyu binti
Mimi ni msichana bado miezi 2 niolewe. Ex wangu ambaye tuliachana vizuri (sio ugomvi) ameniomba tuonane mara ya mwisho kama marafiki. Anasema anataka kunipa baraka zake na kunikumbatia kwa mara ya mwisho.
Ukweli moyo wangu bado unamuona, sio kama mume wangu mtarajiwa. Naogopa nikimkatalia nitajutia maisha yangu yote, na nikikubali naweza kuharibu ndoa yangu kabla haijaanza.
Rafiki yangu ananiambia "Lala naye mara ya mwisho ufunge chapter vizuri, hakuna mtu atajua". Lakini dhamiri inaniuma.
Wadau mnashauri nini? Hii ni sahihi kisaikolojia? Ni closure au ni mtego wa shetani?
Una uhakika?Unapenda kuchangia story za kutomberner kama Salome yani.
Kwanini km Zezeta lakini? πππHalafu muoaji hapo atakuwa anacheka cheka siku ya harusi na kupungia pungia watu kama zezeta.
Ndio 100Una uhakika?
Aaah wapiii!!Ndio 100
Ulivyosema paah paah paah nikakumbuka mlio unaotokea tukichapana doggy styleAaah wapiii!!
Unacheka cheka huku unarekodiwa na mke mwenyewe ndo huyu?Kwanini km Zezeta lakini? πππ
Wee kumbee?Ulivyosema paah paah paah nikakumbuka mlio unaotokea tukichapana doggy style
πππUnacheka cheka huku unarekodiwa na mke mwenyewe ndo huyu?
EeehWee kumbee?