Vitu vingine haviitaji hata ushauri, jinga jabisaWadau tumpe ushauri huyu binti
Mimi ni msichana bado miezi 2 niolewe. Ex wangu ambaye tuliachana vizuri (sio ugomvi) ameniomba tuonane mara ya mwisho kama marafiki. Anasema anataka kunipa baraka zake na kunikumbatia kwa mara ya mwisho.
Ukweli moyo wangu bado unamuona, sio kama mume wangu mtarajiwa. Naogopa nikimkatalia nitajutia maisha yangu yote, na nikikubali naweza kuharibu ndoa yangu kabla haijaanza.
Rafiki yangu ananiambia "Lala naye mara ya mwisho ufunge chapter vizuri, hakuna mtu atajua". Lakini dhamiri inaniuma.
Wadau mnashauri nini? Hii ni sahihi kisaikolojia? Ni closure au ni mtego wa shetani?
Kwa sababu atakuwa anafikiri amepata kitu cha maana kumbe hovyo tu.Kwanini km Zezeta lakini? 😂😂😂
😂😂😂😂😂Halafu muoaji hapo atakuwa anacheka cheka siku ya harusi na kupungia pungia watu kama zezeta.
😂😂😂Kwa sababu atakuwa anafikiri amepata kitu cha maana kumbe hovyo tu.
Je kama siyo Ex wako... Inakuaje hapo?
Unachotaka kufanya ndio alikifany bi harusi mtarajiwa.Mimi ni msichana bado miezi 2 niolewe. Ex wangu ambaye tuliachana vizuri (sio ugomvi) ameniomba tuonane mara ya mwisho kama marafiki. Anasema anataka kunipa baraka zake na kunikumbatia kwa mara ya mwisho.
Wacha mtoa mada aje kukupa mwongozo!!Je kama siyo Ex wako... Inakuaje hapo?
Ila mlete mada anasikitisha sana...