Umesema umeoa mwaka m'moja uliopita na hapa Jamii Forum kuna nyuzi zaidi ya 100 zinazokataza na kupiga marufuku vijana ambao bado ni wadogo na mpo umri wa kujijenga kuoa single mothers na kuelekeza kuachana nao, kuwakalia mbali kwasababu ya changamoto na mizigo wanazokuja nazo katika maisha yako na kutaka wewe uyabebe as if yanakuhusu au uliyasababisha.
Wewe ukakaidi hilo na kuona unaweza kujiamulia kuanza maisha na single mother kwasababu tu amekuahidi kuwa atakubaliana na maamuzi yako ya kupeleka mtoto kwa baba yake?π
Sasa ulikuwa haujajua kuwa kuzaa nae ndicho alichokuwa anataka ili akushike vizuri kwenye himaya yake ya kishetani. Anajua saa hii hauwezi mtenga ana mtoto wako hapo amerudisha panga meza ya mazungumzo ambayo mlikubaliana kuwa vita sio jibu.
Hakunaga single mother anaachia watoto wake. Kama unakumbuka tulisema kuwa katika maisha ya single mothers, watoto wake ndio kitu cha kwanza,then baba watoto wake,halafu wazazI wake,ndugu zake,mashost zake,halafu ndio wewe unaweza kufuatia maybe kama amekosa mtu mwingine muhimu wa kumpa kipaumbele.
Usione tunawapiga vita hawa viumbe kwa nguvu zote tunawaelewa nje ndani kwa tabia zao za asili.
Kwanza kitendo che yeye kuwa single mother ni bonge la red flag π©π©π© ambayo ulitakiwa ukimbie na ikibidi umrushie mateke siku alipokusogelea. Wewe ukaweka silaha na injili chini ukaanza kujikuta ni USAID a.k.a baba huruma unakaa nae na kunegotiate,how do you negotiate na terrorist wa jamii. Hawa ni magaidi wa kijamii waliochagua kuiharibu jamii wewe unamkaribisha ili umpe hifadhi na kuishi nae kwa resources zako mzee?ππ
Kama msemo huu unavyosema,"NEVER NEGOTIATE WITH A TERRORIST".
Usiingie makubaliano yoyote na single mother zaidi ya kukulana na kusepa, wewe unaweka ndani kabisa si bora ungeenda pale sinza makaburini usiku ukachukue dada poa m'moja ukubaliane nae awe mke mzeeπππ.
Hapo tayari umeshaingia kwenye vita ambayo kila nyuzi hapa ndio huwa inajaribu kukuelimisha usithubutu kuiingia. Sasa ona badala ya kuwaza ujenzi wa familia unaanza kuwaza afya ya toto ambalo halikuhusu na lina baba lake jinga jinga ambalo huyo mpuuzi mwenzake uliyeweka ndani ndio wahusika ila wanashindwa kudeal na issue ndogo kama kulea mtoto wake mwenyewe wanataka wewe ndie ubebe hilo jukumu.
Hapo anakupa visingizio vya mtoto kukonda,sijui kudhoofu kwanini asiende kule wakae kitako yeye,baba mtoto,na mke wa baba mtoto wake wazungumzie afya ya mtoto na wajadili namna ya kumpa mtoto malezi na matunzo mazuri?
Hapo ndipo vita imeanza sasa mzee ukisikia single mother ni kisanga ndio hii. Atamchukua mtoto kwa kulazimisha. Utashangaa akija na mtoto wake hapo sasa ndio roho yake ina suuzika anakuangalia huku katabasamu kwa kukenua meno yote 32 nje.
Hapo kinachofuata ni mkishajenga na kufanya baadhi ya vitu pamoja kujijenga anaanza sasa mission yake iliyomleta kwenye maisha ambayo ni kuchukua mali zako na kukuvuruga. Ataanza kuwasiliana na baba mtoto mara kwa mara na kukufanyia drama za kitoto ili ukasirike mgombane akadai mgao wa mali mahakamani.
Hao huwa wanaingia kwenye ndoa ili kutatua changamoto zao na mara wakiona wamezipunguza wanaweza jitegemea wanaanza mchakato wa kutoka sasa sababu mission accomplished ndoa haijawahi kuwa ajenda yao kwasababu hawaijui misingi yake na ndio maana wakazaa nje ya ndoa. Binti anaeijua ndoa huwa anajulikana na haiwezi kumshinda hata iweje.
Zemanda first I second you,, then I salute you for this elaboration master.
Unawaelewa sana yaani nje ndani. Siwezi kupinga kabisa katika hilo mkuu..
Na nimkumbushe tu huyo jamaa kuwa
Single mamaz hupenda sana kufuatiΔΊia maendeleo ya kiuchumi ya wazazi wenza wao,, Hapa sio kwamba wanawapenda sana hao Baba watoto wao,? Hapana ni kuangalia symbiotic opportunities,, they always pip to those who they think they are attached by any string even if they didnt get a child but happened to d*ck ride at some point they feel eligible to suck that honey. In short hawa viumbe wana tamaa kali ambayo naweza kuifananisha na ile tamaa ya mwanaume anayoipata amuonapo binti wa miaka 20 mwenye kifua chenye ujazo na bonge la tako kwa nyuma halafu sura ya kawaida kisha huyo binti awe ni saidia mama ntilie.. Yaani hapo wanaume huwa wanawaka tamaa kali kupitiliza bila kujali level zao maisha na kiuchumi.
Sasa ile tamaa ndio inaikaribia hii ya Single mamaz..
Kama umemuelewa single mama we tafuna tu kwa kwenda mbele
Akihamia kwako usimfukuze kwanza endelea kumtafuna kwa sana
Ikibidi mzalishe watoto wawili watatu wengine,, lakini usifanye nae mkataba wowote serious..
Hawachelewagi kuanza drama hasa mkishazaa sasa hapo mwamba ndio unatemana nae tu kiroho safi..
Najua tunawapenda hawa single mamaz coz they are easy go get.
But unatakiwa uelewe kuwa hata kazi ambazo hutumii nguvu kubwa sana kuzipata basi elewa utatumia nguvu nyingi sana kuzifanya na malipo yake ni yale ya kukatisha tamaa..
Stay tuned Niggas, cheap p*ussy comes with Higher costs..