Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

Ndipo siku hio nawe utajua hua una utamu wako.
Nipo mbioni kula wake wawili wa watu kwa sababu hiyo hiyo, huyu mmoja ni mcharuko kabisa, halafu ni pisi kali, jana usiku nimekutana naye baada ya stori mbili tatu a kaniuliza flani hivi unajua kwa nini niliku kopa na sija kulipa? Nikamwambia hapana, a kaniambia "jiongeze basi" huyu ntamla tu maana hamna namna

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna Siku nawe utajua hua una utamu wako pahala Fulani.Tembea na mafuta
 
Kama wewe ni mwanamke mwenzake ni halali.
Ila Kama ni mwanaume unajitafutia Matatizo.

Na unakuwaje na mazoea na wake za watu mpaka kufikia hatua ya kukopeshana?
Siku ukiminywa kende licha ya kuwa hujatoka Naye utamlaumu Nani?

Kwa nini huyo mke WA Mtu asije kumkopa mke wako?

Vijana wa siku hizi wanajua Kucheza na roho zao kweli
 
Daaaaaaaa....usithubutu ndugu utakuja kunikumbuka baaadae mwisho siku utaambiwa ulikuwa wa mtongoza.
 
Kwanza tueleze anataka sh ngap. Usikute anataka elf 5 ya kununua zile nguo zao nyepesi nyepesi za kukatia mauno af unakuja kulalamika huku.
Pili, wanawake n rahisi kukopa lakn hela ikishaingia mfukoni mwao sio rahisi kulipa kbsaaa.
 
Kwanza tueleze anataka sh ngap. Usikute anataka elf 5 ya kununua zile nguo zao nyepesi nyepesi za kukatia mauno af unakuja kulalamika huku.
Pili, wanawake n rahisi kukopa lakn hela ikishaingia mfukoni mwao sio rahisi kulipa kbsaaa.
Mbaya zaidi sisi wengine huwa hatuna moyo wa kutaka malipo mbadala.

Mimi mwanamke nikimkopesha pesa yangu asitegemee atailipa kwa kunipa ****, lazima anilipe pesa yangu kama ilivyo no matter what.
 
Back
Top Bottom