wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Kuna Siku nawe utajua hua una utamu wako pahala Fulani.Tembea na mafutaNipo mbioni kula wake wawili wa watu kwa sababu hiyo hiyo, huyu mmoja ni mcharuko kabisa, halafu ni pisi kali, jana usiku nimekutana naye baada ya stori mbili tatu a kaniuliza flani hivi unajua kwa nini niliku kopa na sija kulipa? Nikamwambia hapana, a kaniambia "jiongeze basi" huyu ntamla tu maana hamna namna
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mbaya zaidi sisi wengine huwa hatuna moyo wa kutaka malipo mbadala.Kwanza tueleze anataka sh ngap. Usikute anataka elf 5 ya kununua zile nguo zao nyepesi nyepesi za kukatia mauno af unakuja kulalamika huku.
Pili, wanawake n rahisi kukopa lakn hela ikishaingia mfukoni mwao sio rahisi kulipa kbsaaa.