Ni Sahihi kumnunulia dada, mama au mama mkwe nguo za ndani?

Ni Sahihi kumnunulia dada, mama au mama mkwe nguo za ndani?

Kwa hii post inaonyesha hua unaingia chumbani kwa dada zako au mama yako.

Mtoto wa kiume hutakiwi kuingia chumbani kwa dada wala mama ila dada yako anaweza kuingia kwako hata kupekua nguo zako
Mkuu ni swali ambalo nimejiuliza na ndio maana sikununua nikaja kuleta uzi ili nipate kujua maoni ya wadau wa kike na wakiume.

Sinaga tabia ya kuingia vyumbani mwa dada zangu hapa kwetu. Kwanza mara nyingi sipo home huwa narudi kulala tu ila mizungukoni nikiona kitu kizuri na kama nina hela huwa nawakumbuka ndugu zangu nyumbani niwanunulie.
 
Ni kosa kubwa hata kufikiria kufanya hivyo. Hebu vuta picha unampelekea mam Yako chupi. Atajua labda kuna Siku ulimuona kakaa uchi bila chupi ndio maana umejiongeza.

Wewe hadi utu uzima huo ulishawahi kuona rangi ya chupi anayovaa mama yako?? Binafsi sijawahi ona na kama mama yako hua unaziona na anafua anaanika nje. Hesabu huna mama hapo
 
Back
Top Bottom