Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
- Thread starter
- #21
Duh asee kweli tuko tofauti mkuu. Nadhani pia malezi na familia zetu ni tofauti. Kuanika nguo nje kambani mbona ni kawaida.Ni kosa kubwa hata kufikiria kufanya hivyo. Hebu vuta picha unampelekea mam Yako chupi. Atajua labda kuna Siku ulimuona kakaa uchi bila chupi ndio maana umejiongeza.
Wewe hadi utu uzima huo ulishawahi kuona rangi ya chupi anayovaa mama yako?? Binafsi sijawahi ona na kama mama yako hua unaziona na anafua anaanika nje. Hesabu huna mama hapo