Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
- Thread starter
-
- #21
Duh asee kweli tuko tofauti mkuu. Nadhani pia malezi na familia zetu ni tofauti. Kuanika nguo nje kambani mbona ni kawaida.Ni kosa kubwa hata kufikiria kufanya hivyo. Hebu vuta picha unampelekea mam Yako chupi. Atajua labda kuna Siku ulimuona kakaa uchi bila chupi ndio maana umejiongeza.
Wewe hadi utu uzima huo ulishawahi kuona rangi ya chupi anayovaa mama yako?? Binafsi sijawahi ona na kama mama yako hua unaziona na anafua anaanika nje. Hesabu huna mama hapo
Soma vizuri mkuuHuna mke Ila una mama mkwe.
Basi mnunulie bimkubwa Kama umechoka kuishi.
Umenena vyema mkuu [emoji817] yaani mimi huwa nikiona chupi za kike kwenye kamba akili yangu inaanza kuhisi kama vile ndo namuona mwenye hizo chupi yupo uchi mbele yanguHapana sio sawa.
Nguo za ndani (hasa za kike) zinahusishwa na utupu wa mtu na hupaswi hata kuutafakari utupu wa mama ama dada yako.
Sawa mkuu asante kwa ushauriWapatie hiyo hela watanunua wenyewe.
Sogea Woolworth hapa....nimnunulie dada ako chupi kwa niaba yako....kisheria na utamaduni mi ndo naruhusiwa kufanya hvyo.Yeah nipo hapa Mbauda kata ya Sombetini. Ila sivuti bangi, nimetokea town kati hapo nilikuwa nazurura nikakutana na hilo duka.
kabisa. na kwa maadili yetu ya kiafrika chupi hazitandazwi ovyo. Huwa zinaanikwa kwa staha kuepusha kutafakari nyuchi za wamiliki.Umenena vyema mkuu [emoji817] yaani mimi huwa nikiona chupi za kike kwenye kamba akili yangu inaanza kuhisi kama vile ndo namuona mwenye hizo chupi yupo uchi mbele yangu
Kuuliza sio ujinga boss. Nimeuliza swali tu masuala ya kufanania yametoka wapi?Omba mods wafute thread maana hufananii mkuu, please
Sawasawa mkuuKuuliza sio ujinga boss. Nimeuliza swali tu masuala ya kufanania yametoka wapi?
He we nae kiboko,nguo za mama yako inakuwaje uziogope?Mimi hata mvua ikinyesha, kuanua vitenge vya mama kwenye kamba siwezi. Sembuse kumnunulia chupi ebu kuweni serious
Unaweza kumuanulia babaako boksa kwenye kamba?!He we nae kiboko,nguo za mama yako inakuwaje uziogope?
Itakuwa poa arif. Ila ina maana bro wake siwezi mpa zawadi sistaa asee?Sogea Woolworth hapa....nimnunulie dada ako chupi kwa niaba yako....kisheria na utamaduni mi ndo naruhusiwa kufanya hvyo.
Mtu anakaa mbauda na mnamuona ana utashi wa kufikiria kweli?Yeah nipo hapa Mbauda kata ya Sombetini. Ila sivuti bangi, nimetokea town kati hapo nilikuwa nazurura nikakutana na hilo duka.
Hauruhusiw hata kufikiria hilo swala...hadi hapo watake radhi dada ako na mama ako kimoyo moyo..Itakuwa poa arif. Ila ina maana bro wake siwezi mpa zawadi sistaa asee?
Acha dharau mkuu. Mbauda ni town kuliko Sinza. Piga hesabu ya KM kutoka Sinza mpaka downtown na kutoka Mbauda mpaka downtown uone nani anaishi mbali na mjiMtu anakaa mbauda na mnamuona ana utashi wa kufikiria kweli?
Sasa huyu angepita maduka ya sinza palestina si angetaka kumnunulia mama yake au mama mkwe wake yale makalio ya bandia huyu.
Utoke sinza uende mjini wapi. Sinza tu mjini.Acha dharau mkuu. Mbauda ni town kuliko Sinza. Piga hesabu ya KM kutoka Sinza mpaka downtown na kutoka Mbauda mpaka downtown uone nani anaishi mbali na mji