Ni Sahihi kumnunulia dada, mama au mama mkwe nguo za ndani?

Wewe!
Sasa mnaanika wapi nguo zenu si zitakua na uvundo [emoji134]
Yaani Mama mzazi akianika nguo zake za ndani nje watoto wakaona wajihesabie hawana Mama! una maanisha Watoto watamtamani Mama yao au Mama anawatega Watoto wake!?

Acheni Mila za kipumbavu bhana, Mama atabaki kua Mama tu
 
Kwanini nyie feminist mnapingana na tamaduni zetu za Afrika zenye stara
Hiyo ni stara au ujinga,
Mama yako mzazi ushindwe kufua nguo zake, ushindwe kuanua nguo zake, ushindwe kumnunulia nguo za ndani!
Unakua unatumia kigezo gani kua utamtamani?
Wewe si umetoka katikati ya mapaja yake na ukanyonya ziwa lake!

Ndio nyie hata kuwakumbatia Mama zenu au kuwaambia Mnawapenda hamuwezi, mpo mpo tu kama mapera.
 
Niulize, kimekujia nini kichwani mpaka ukataka kutoa hiyo zawadi. Every gift has a meaning behind it! Sasa niulize lengo la hiyo zawadi ni nini hasa, na ukishaitoa ukawapa hao watu, halafu wakaamua kukuuliza, "mwanangu lengo la hii zawadi ni nini hasa". Ukiweza kutoa jibu lakueleweka unafaa kuitwa wisest man on earth maana kila jibu utakalotoa litaibua swali lingine mwishowe itagundulika una tabia fulani sio ya kawaida kibinadamu au laa sio kawaida kwa jamii yetu.
 
Mkuu nimeona chupi za kike nikawaza nina mama na ndugu wa kike. What else?
 
Mkuu nimeona chupi za kike nikawaza nina mama na ndugu wa kike. What else?
Sasa geuza hilo jibu kwangu, fanya unamwambia mama yako mzazi. Halafu take her shoes nauanze kuwaza anawaza nini kichwani hata kama akikujibu jibu la sawa. Uzuri wa nguo za ndani za kike umeujuaje, kama kwa mpenzi wako je, mama ni mpenzi wako maana hujawahi hata siku moja kumuona mama kavaa nguo zake za ndani. Lasivyo kuna boundary limits zipo baina ya mzazi na mtoto ndio maana akaitwa mzazi na wewe ukaitwa mtoto. Kumbuka hujibizani na vijana wenzako bali na mama yako mzazi.
 
Kwa mwanaume kumnunulia mama mkwe is totally unethical ila kwa mwanamke kumnunulia mama mkwe wake nguo za ndani will depend na situation maana wanawake wanajuana vizuri sana mΓ‘ana tunapozungumzia nguo za ndani si tu pichu bali kuna sidilia ,shumizi,underskirt, skintight ,pensi nyanya k,mashine ya kunyolea , sasa inawezekana mama mkwe hana exposure na hivo vitu au akawa haoni umuhimu wa kununua hivyo vitu kwa upande wa mwanamke anaweza mnunulia mkwewe kama zawadi lakini atatumia akili kumfikishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…