Ni Sahihi kumnunulia dada, mama au mama mkwe nguo za ndani?

Ni Sahihi kumnunulia dada, mama au mama mkwe nguo za ndani?

Watu bhana mnafanya maisha yawe complicated sana, we fika reception mpigie dada au huyo mama yako mpe mtu wa reception awasikilize kujua sizes zao we unapewa mzigo ukiwa packed unafanya kuwapelekea mbona easy. na wala haina tafsiri mbaya
Hawa watu wamekulia vijijini huko wanaanika chupi chini ya kitanda ndio maana
 
Duniani hapa kuna taratbu ambazo kimsingi ni upumbavu na ujinga na ushenzi

ila kwasababu ndio wanaita "tamadunu zetu" ''mila zetu'' desturi zetu'' ''miiko yetu''

basi tunaishi nao hivyo hivyo lakini ni ujinga na upumbavu Hizo sheria za dunia yetu.
 
Suala la kumnunulia mtu nguo za mafichoni tena awe nimtu mkubwa halifai.
Utanunuliaje mke wa mtu kufuli la nyumba yake?
Mama mzazi/mkwe,Dada,shangazi nk hao wote niwake za watu
Usitafute ugomvi na baba yako kwa kumnunuli mkewe mzuka. Wacha hiyooo
 
Wakuu za Weekend.

Leo nimepita mahali nikaona duka wanauza nguo za kike nikaingia.

Nimekuta humo nguo za kike za ndani nzuri kweli. Nimetamani kununua ila sina mke na sina manzi wala mtoto wa kike.

Nimejiuliza sana je itakuwa sawa nikinunua nikampa zawadi mama au dada zangu?

Au kama ningekuwa nimeoa labda ninunue dozen mbili moja nimpe wife na nyingine nimpe mama yake (mama mkwe?)

Hili mnalichukuliaje?

Kama ni sawa niambieni nirudi nichukue kabla hii hela sijaiweka kwenye mikeka yangu maana leo weekend kuna mechi nyingi nzuri.
Size zao unazijua? 😂 😂 Tuaanzie hapa.. 😁😁😁😁 Mbonaa vizuri vya kuwanunulia vipo vingi tuu.. Ila sijui inategemea mnaishi kwa style ipi.. 😂
 
Back
Top Bottom