Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Hahahaa jibu la hekima sanaLabda ungejiuliza ni Sahihi Wakati ukimpiga Mkeo alafu mtoto wako akaja kukukata mitama?
Jibu utakalotoa ndio sahihi.
Labda kama unayeuliza ni Mwanamke. Tutakusaidia majibu.
Usimfanyie mtu kitu ambacho wewe usingependa kufanyiwa.Labda ungejiuliza ni Sahihi Wakati ukimpiga Mkeo alafu mtoto wako akaja kukukata mitama?
Jibu utakalotoa ndio sahihi.
Labda kama unayeuliza ni Mwanamke. Tutakusaidia majibu.
Usimfanyie mtu kitu ambacho wewe usingependa kufanyiwa.
Huzuni anayoipata baba baada ya kupigana na wewe sidhani kama inaelezeka ni vile tu wanaume kujifanya nunda hujari wala hujaumia kihisia wala nini ila deepdown washua huwa wanaumia mno.Hapo ni kuamua ugomvi tena Kwa Hekima.
Wengi wanaopiga Baba zao tumewaona wakija kuwa walevi mpaka wanapasuliwa mayai na wahuni.
Ukiwa na mke ndo utapata jibu sahihi ,utamuelewa baba yako ukiwa na familiaJamaa mmoja mtu mzima na familia yake ana wazazi wake ambao wako above 60. Sasa dingi yake akajitia ukidume kumpiga mama yake mbele ya jamaa. Jamaa akaingilia na kumtwanga baba yake, akimkunja chini. Hili suala ni sahihi? Baba yako akimpiga mama yako mbele yako unaweza ungilia kupigana na dingi?
Ajabu sana.mIaka 60 wanagombana?
Unakuwa umemtoa uanaume siyo!?Huzuni anayoipata baba baada ya kupigana na wewe sidhani kama inaelezeka ni vile tu wanaume kujifanya nunda hujari wala hujaumia kihisia wala nini ila deepdown washua huwa wanaumia mno.
Kama ni kujiuliza basi uanze na kujiuliza iwapo ni sahihi kumpiga mkeo?Labda ungejiuliza ni Sahihi Wakati ukimpiga Mkeo alafu mtoto wako akaja kukukata mitama?
Jibu utakalotoa ndio sahihi.
Labda kama unayeuliza ni Mwanamke. Tutakusaidia majibu.
Jamaa anampiga mpenzi wake, wewe hayakuhusu.....Jamaa mmoja mtu mzima na familia yake ana wazazi wake ambao wako above 60. Sasa dingi yake akajitia ukidume kumpiga mama yake mbele ya jamaa. Jamaa akaingilia na kumtwanga baba yake, akimkunja chini. Hili suala ni sahihi? Baba yako akimpiga mama yako mbele yako unaweza ungilia kupigana na dingi?