Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Iwe sahihi au laa,hupaswi kuchagua upande wa mmoja wao.Waamue halafu uendelee na shida zako za duniani.Kama ni kujiuliza basi uanze na kujiuliza iwapo ni sahihi kumpiga mkeo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwe sahihi au laa,hupaswi kuchagua upande wa mmoja wao.Waamue halafu uendelee na shida zako za duniani.Kama ni kujiuliza basi uanze na kujiuliza iwapo ni sahihi kumpiga mkeo?
Jamaa anampiga mpenzi wake, wewe hayakuhusu.....
Akimuua ndo utaongeaa huu ujinga vizuriata mimi nashangaa mkuu mtu anamfundisha adabu kipenzi chake wewe kiherehere cha nini?
Na unaweza kukuta ni michezo tu waliyozoea tangu waoane.Ya nini kujisumbua kwa mambo yao?Be fair,be a good referee!ata mimi nashangaa mkuu mtu anamfundisha adabu kipenzi chake wewe kiherehere cha nini?
Umasikini huleta unyonge.Kwani wanyonge hupigana tena?Chanzo ni umasikini
Genius MTEBELILabda ungejiuliza ni Sahihi Wakati ukimpiga Mkeo alafu mtoto wako akaja kukukata mitama?
Jibu utakalotoa ndio sahihi.
Labda kama unayeuliza ni Mwanamke. Tutakusaidia majibu.
Wakati wanaoana ulikuwepo? Mpige mitama halafu akwambie unatembea na Mama yako ndiyo maana unamtete na kumpiga yeye. Sijui utajificha wapi na hiyo laanaJamaa mmoja mtu mzima na familia yake ana wazazi wake ambao wako above 60. Sasa dingi yake akajitia ukidume kumpiga mama yake mbele ya jamaa. Jamaa akaingilia na kumtwanga baba yake, akimkunja chini. Hili suala ni sahihi? Baba yako akimpiga mama yako mbele yako unaweza ungilia kupigana na dingi?
Na kitandani kamtoa babako kifuani pa mamako ili umlale wewe kwa maana nayo hayo ni mapigano!Anatandikwa tu akileta upuuzi wazazi wenye kujitambua hawakwaruzani mbele ya macho ya watoto kama ugomvi ameshindwa kuuacha baada ya kuamuliwa na kujifanya nunda kuendelea kumfanya kibogoyo maza kinacho fuatia ni makonde mpaka akili zimrudi
Hasira hazina umri hata kaburini watagombanamIaka 60 wanagombana?