Ni sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo badala ya kumnyonyesha maziwa ya mama?

Tuangalie hapa.
Replacement feeding...vyakula vingine.

Mixed...unapiga both

Exclusive...unapiga maziwa ya mama only kwa 6months

Faida za exclusive

Yana joto linalotakiwa na mtoto.
Mtoto anakua free kupata magonjwa.

Yanapatika kwa urahisi

Hayana gharama.

Inamsaidia mama kutopata magonjwa kama uterine myoma na Matatizo ya ziwa/mastitis,galactocele etc

Ni rahisi kuvunjwa na mtoto/digestion

Ila kama ana matatizo ya kiafya,maziwa hayatoki mtoto anaweza kupewa maziwa mengine mfano Lactogen 1 kutegemeana na umri.
 
nyie ndio mna kasumba za zamani, hamtaki hata kujiongeza,what a shame ,baki na wake zenu wanyonyeshe 24/7
Wala sina kasumba za kizamani na sina za kisasa hapa naongelea vitu muhimu,mama mtoto wangu alikataa upuuzi huo wenu na amefanya express breast feeding kwa mtoto mpaka miezi 6 na akienda kazini hujui madhara mpaka yakukute na usister duu mtoto miezi 10 kilo 5 ndo utajua
 

hio ni nyumbani kwako na mkeo,its all about choices kama wewe a mke wako mliamua hivyo basi ni sawa,ila msitake wote tufanane na nyie,maziwa ya kopo mfano SMA ni mazuri na mtoto anakua na afya njema tu,kama ilivyo experience yenu,ndivyo na mimi nina experience ya kuona watoto kibao wanakua na maziwa ya kopo........tchao
 
Dada pata elimu hakuna shida tatizo kubwa huwa mnaamini mnayo yaona pasi kuwa na elimu juu ya breast feeding na mengine
 
Dada pata elimu hakuna shida tatizo kubwa huwa mnaamini mnayo yaona pasi kuwa na elimu juu ya breast feeding na mengine

kuwa na elimu ni kujifunza kila siku,sio kubaki umekariri mambo ya mwaka 47!,kuwa flexible ongeza elimu kila siku,kwa heri.
 
Ndiyo, ya kopo Lactogen na Nido ni mazuri. Ila kama uchumi shit unaweza ukahisi unaonewa
 
achana nao dear? hela yenyewe ya mama kula hawatoi sijui wanadhani mtu atatoa wapi maziwa ya kumtosha mtoto.uache mtoto apate ulcers kisa hutokuwa na bond na mtoto eti?
Breast milk ina immunogloblin G na nutrients muhimu hayo ya kopo mpe mtoto kama umelazwa ICU na hajitambui. Hata hospitali kwa watoto wachanga hatuwapi maziwa ya kopo huwa tunawapa neonatal fluid. Maziwa ya kopo tunawapa kama mama yuko ICU kwa mda wa siku saba au zaidi ambapo hawezi nyonyesha mtoto au mama kafariki au ana infection ambayo akinyonyesha itakuwa risk kwa mtoto
 
nyumbani tuna mtoto ,mama yake hana ugonjwa ila hana maziwa ya kumtosha dogo. kuna situation zinatokea lazima mtoto apewe maziwa ya kopo.tunachanganya na mtoto yupo fresh tu alhamdulillah!
 
Suala la breast feeding sio la miaka ya 47 dada. Paediatricians wanasisitiza breastfeeding kwa sababu za kitaalamu zaidi. Na kama umeenda shule na unapinga breast feeding basi elimu yako itakuwa haijakusaidia
 
nyumbani tuna mtoto ,mama yake hana ugonjwa ila hana maziwa ya kumtosha dogo. kuna situation zinatokea lazima mtoto apewe maziwa ya kopo.tunachanganya na mtoto yupo fresh tu alhamdulillah!
Ana miezi mingapi?
 
Suala la breast feeding sio la miaka ya 47 dada. Paediatricians wanasisitiza breastfeeding kwa sababu za kitaalamu

ni la mwaka 47,nimeona watoto wanakua na maziwa ya kopo,sikushangai lakini,kama hujaona hili likitendeka utabisha mpaka kufa,jumapili njema mkuu.
 
Maziwa ya mama ni better. Itamwongezea mtoto kinga ya magonjwa na kumwondolea uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa mbalimbali kama infection ya masikio, meningitis, kuharisha, respiratory infections, obesity, asthma and so on.

Ila mwisho wa siku ni nyie wenyewe muamue. So far kuna njia nyingi za kuhakikisha mtoto anapata maziwa ya mama hata kama mama yuko busy, mfano rahisi ni pumping. Tafuta pump mama akamue maziwa yahifadhiwe kwa usafi mzuri then mtoto apewe
 
nyumbani tuna mtoto ,mama yake hana ugonjwa ila hana maziwa ya kumtosha dogo. kuna situation zinatokea lazima mtoto apewe maziwa ya kopo.tunachanganya na mtoto yupo fresh tu alhamdulillah!
Zaa wako ulee..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…