Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Unabisha viti usivyojua endelea na hizo habari zako
nyie ndio mna kasumba za zamani, hamtaki hata kujiongeza,what a shame ,baki na wake zenu wanyonyeshe 24/7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabisha viti usivyojua endelea na hizo habari zako
Wala sina kasumba za kizamani na sina za kisasa hapa naongelea vitu muhimu,mama mtoto wangu alikataa upuuzi huo wenu na amefanya express breast feeding kwa mtoto mpaka miezi 6 na akienda kazini hujui madhara mpaka yakukute na usister duu mtoto miezi 10 kilo 5 ndo utajuanyie ndio mna kasumba za zamani, hamtaki hata kujiongeza,what a shame ,baki na wake zenu wanyonyeshe 24/7
Maziwa ya mama yana kinga itakayomkinga mtoto na baadhi ya maradhi ya utotoni. Sina uhakika kama maziwa ya kopo yana antibodiesmmmnh labda uwe specific maziwa ya kopo yanakosa nini kulinganisha na maziwa ya mama?????
Wala sina kasumba za kizamani na sina za kisasa hapa naongelea vitu muhimu,mama mtoto wangu alikataa upuuzi huo wenu na amefanya express breast feeding kwa mtoto mpaka miezi 6 na akienda kazini hujui madhara mpaka yakukute na usister duu mtoto miezi 10 kilo 5 ndo utajua
Dada pata elimu hakuna shida tatizo kubwa huwa mnaamini mnayo yaona pasi kuwa na elimu juu ya breast feeding na menginehio ni nyumbani kwako na mkeo,its all about choices kama wewe a mke wako mliamua hivyo basi ni sawa,ila msitake wote tufanane na nyie,maziwa ya kopo mfano SMA ni mazuri na mtoto anakua na afya njema tu,kama ilivyo experience yenu,ndivyo na mimi nina experience ya kuona watoto kibao wanakua na maziwa ya kopo........tchao
Dada pata elimu hakuna shida tatizo kubwa huwa mnaamini mnayo yaona pasi kuwa na elimu juu ya breast feeding na mengine
achana nao dear? hela yenyewe ya mama kula hawatoi sijui wanadhani mtu atatoa wapi maziwa ya kumtosha mtoto.uache mtoto apate ulcers kisa hutokuwa na bond na mtoto eti?kwani mama kitendo cha kumpa mtoto ya kopo,hakitengenezi bond?
Suala la breast feeding sio la miaka ya 47 dada. Paediatricians wanasisitiza breastfeeding kwa sababu za kitaalamukuwa na elimu ni kujifunza kila siku,sio kubaki umekariri mambo ya mwaka 47!,kuwa flexible ongeza elimu kila siku,kwa heri.
nido hapana jamaniNdiyo, ya kopo Lactogen na Nido ni mazuri. Ila kama uchumi shit unaweza ukahisi unaonewa
Breast milk ina immunogloblin G na nutrients muhimu hayo ya kopo mpe mtoto kama umelazwa ICU na hajitambui. Hata hospitali kwa watoto wachanga hatuwapi maziwa ya kopo huwa tunawapa neonatal fluid. Maziwa ya kopo tunawapa kama mama yuko ICU kwa mda wa siku saba au zaidi ambapo hawezi nyonyesha mtoto au mama kafariki au ana infection ambayo akinyonyesha itakuwa risk kwa mtotoachana nao dear? hela yenyewe ya mama kula hawatoi sijui wanadhani mtu atatoa wapi maziwa ya kumtosha mtoto.uache mtoto apate ulcers kisa hutokuwa na bond na mtoto eti?
nyumbani tuna mtoto ,mama yake hana ugonjwa ila hana maziwa ya kumtosha dogo. kuna situation zinatokea lazima mtoto apewe maziwa ya kopo.tunachanganya na mtoto yupo fresh tu alhamdulillah!Breast milk ina immunogloblin G na nutrients muhimu hayo ya kopo mpe mtoto kama umelazwa ICU na hajitambui. Hata hospitali kwa watoto wachanga hatuwapi maziwa ya kopo huwa tunawapa neonatal fluid. Maziwa ya kopo tunawapa kama mama yuko ICU kwa mda wa siku saba au zaidi ambapo hawezi nyonyesha mtoto au mama kafariki au ana infection ambayo akinyonyesha itakuwa risk kwa mtoto
Suala la breast feeding sio la miaka ya 47 dada. Paediatricians wanasisitiza breastfeeding kwa sababu za kitaalamu zaidi. Na kama umeenda shule na unapinga breast feeding basi elimu yako itakuwa haijakusaidia
Ana miezi mingapi?nyumbani tuna mtoto ,mama yake hana ugonjwa ila hana maziwa ya kumtosha dogo. kuna situation zinatokea lazima mtoto apewe maziwa ya kopo.tunachanganya na mtoto yupo fresh tu alhamdulillah!
Suala la breast feeding sio la miaka ya 47 dada. Paediatricians wanasisitiza breastfeeding kwa sababu za kitaalamu
Zaa wako ulee..!nyumbani tuna mtoto ,mama yake hana ugonjwa ila hana maziwa ya kumtosha dogo. kuna situation zinatokea lazima mtoto apewe maziwa ya kopo.tunachanganya na mtoto yupo fresh tu alhamdulillah!