Muhimu mtoto apate breast milk haijalishi ni by expressing au sucklingMaziwa ya mama ni better. Itamwongezea mtoto kinga ya magonjwa na kumwondolea uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa mbalimbali kama infection ya masikio, meningitis, kuharisha, respiratory infections, obesity, asthma and so on.
Ila mwisho wa siku ni nyie wenyewe muamue. So far kuna njia nyingi za kuhakikisha mtoto anapata maziwa ya mama hata kama mama yuko busy, mfano rahisi ni pumping. Tafuta pump mama akamue maziwa yahifadhiwe kwa usafi mzuri then mtoto apewe
Maziwa ya kopo yanashauriwa tu kwa sababu nilizozieleza hapo kabla. Mama kama huna shida yoyote ambayo itaathiri afya ya mtoto unapaswa kunyonyesha. Mama maziwa unayo na hutaki kunyonyesha utakuwa hauko sawa kichwanini la mwaka 47,nimeona watoto wanakua na maziwa ya kopo,sikushangai lakini,kama hujaona hili likitendeka utabisha mpaka kufa,jumapili njema mkuu.
Nimeyatumia kwa mtoto tangu ana miezi 5, niliamua kuyatumia baada ya jirani yangu mmoja kumuona akiyatumia kwa wanaenido hapana jamani
Maziwa ya kopo yanashauriwa tu kwa sababu nilizozieleza hapo kabla. Mama kama huna shida yoyote ambayo itaathiri afya ya mtoto unapaswa kunyonyesha. Mama maziwa unayo na hutaki kunyonyesha utakuwa hauko sawa kichwani
Naongea kama mtaalamu kwa kuzingatia maelekezo ya WHOnaomba ulitafutie utafiti afu ndio uje kushauri,mkuu hujachelewa,lol
unakosea mkuu au ni nido ipi?Nimeyatumia kwa mtoto tangu ana miezi 5, niliamua kuyatumia baada ya jirani yangu mmoja kumuona akiyatumia kwa wanae
Kuna nido imejispecify kua ni kwa ajili ya watoto, ina maandishi makubwa ya Vitamin A, B na C na neno Calcium.unakosea mkuu au ni nido ipi?
digestive canal ya mtoto si imara, inajitahidi ku'adapt vyakula vinavyopita kwa shida, hivyo kumchanganyishia vyakula inaleta shinda ya kukimeng'enya na zaidi sana mtoto anaweza akaanza kuharisha na utumbo kukwanguka. hivyo ni vyema kuchagua aina moja tu ya maziwa katika umri huo miaka afikishe miezi 6Akichanganya kuna shida gani?
Kwanin asiyakamue na kuyaifadh vzurNaombeni ushauri,,,
mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto ana kosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).Sasa je,ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.
Maziwa yamama nibora na huwez kuwek ubora sawa na maziwa y kopo,ingekuw ivyo tusingenyonyeshlabda kama uchumi hauruhusu,maziwa ya kopo yana viturubisho sawa na ya mama.sina uhakika though..........lol
Maziwa yamama nibora na huwez kuwek ubora sawa na maziwa y kopo,ingekuw ivyo tusingenyonyesh
[emoji28] [emoji28] [emoji28] swali muruambona wababa hawanyonyeshi na wana bond na watoto wao?
Wakat mwingine unaach watu waamin wanachoamini,ninapacha sasa wanamwaka na miez 3,nategemea kuwaachisha kunyony ila nikienda kwamadactar kuwauliz nimaziwa gan bora kuwap watoto wananiambia ya mbuzi au ng'ombe,japo weng hunishaur niwanyonyesh mpka mwaka na nusuMaziwa ya kopo yanashauriwa tu kwa sababu nilizozieleza hapo kabla. Mama kama huna shida yoyote ambayo itaathiri afya ya mtoto unapaswa kunyonyesha. Mama maziwa unayo na hutaki kunyonyesha utakuwa hauko sawa kichwani
Raha ya mwana ni kunyonya maziwa ya mamakekunyionyesha inabaki ni choice,sio kwamba alternative hamna.
Kiafya maziwa ya mama ni mazuri zaidi kuliko maziwa ya kopo.Naombeni ushauri,,,
mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto ana kosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).Sasa je,ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.