Ni sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo badala ya kumnyonyesha maziwa ya mama?

Naunga mkono hoja yako kwa 100%.
 
Wanawake wengi sana hasa wadada wanachoma sindano za kukausha maziwa ili mtoto asinyonye.... Wanayalinda yasije yakawa ndala
 
Uduanzi unao wewe unayebishana na sisi wataalamu. Narudia kusema maziwa ya kopo hayana kiwango sawa na maziwa ya mama. Maziwa ya kopo hayako easily digested ukilinganisha na maziwa ya mama na hayana antibodies. Wizara ya afya, WHO, American Academy of Paediatricians (APP) wote wanashauri mtoto anyonye maziwa ya mama. Unashauriwa kutumia hiyo milk formula pale unaposhindwa kunyonyesha kwa sababu nilizosema hapo kabla na sio maziwa unayo na hutaki kunyonyesha ati kisa kunyonyesha ni choice!! Nonsense!
 
Si sahihi .. unless kama kuna ulazima .. yaani mama hayupo au maradhi
 
Mi pia nawaza kuandaa kopo la formula, make maziwa kuna muda yanakata hayatoki, mara yanamimikika sijui kwanini.... Sasa muda ambao hayatoki naona kijana anapata shida
Kwa mazingira kama hayo unaweza tumia milk formula but maziwa ya ng'ombe hayafai kwa infants
 
Wanawake wengi sana hasa wadada wanachoma sindano za kukausha maziwa ili mtoto asinyonye.... Wanayalinda yasije yakawa ndala
Hao ni wapumbavu kabisa. Unamnyima mtoto lishe ili kufurahisha wanaume!!
 
kaka mtoto ni maziwa ya mama nunua mashine ya kukamua maziwa kuna ya mkono na kuna ya umeme
mama akamue na kuhifadhi katika fridge low temp. kwa usafi then atatumia kwa muda muafaka
 
Martenity leave ni miezi mitatu.
 
Sisi sio waganga wa kienyeji. Tunafanya kazi kulingana na WHO recomendations na hata recomendations za wizara yetu ya Afya hutokana na hizo za WHO. Hatuendi na hisia za watu bali tunaenda na facts.
 
wewe afadhali mie ngumbaru,kuliko weye unayejiita mtaalamu mwenye kasumba za mwaka 47! i,nimekuambia leta report ya WHO,ambayo inaonyesha watoto kufa kisa wamekunywa maziwa ya kopo,naona unambwela mbwela tu,hizo antibodies kama maziwa ya kopo hayanazo tungeskia vifo vingi tu vya watoto, kama unavyodai hayana antibodies,..........mmmnh wewe endelea tu kujidhalilisha mara WHO sijui Paediatrician,hahahaaaaaaaaa
 
Sisi sio waganga wa kienyeji. Tunafanya kazi kulingana na WHO recomendations na hata recomendations za wizara yetu ya Afya hutokana na hizo za WHO. Hatuendi na hisia za watu bali tunaenda na facts.

OK MKUU leta facts,nakusubiri.
 
OK MKUU leta facts,nakusubiri.
Facts nimezisema: Digestion ya maziwa ya kopo ni ngumu kuliko ya maziwa ya mama, maziwa ya mama yana antibodies ambazo humpa mtoto kinga dhidi ya maradhi, maziwa ya kopo yanalack antibodies muhimu kwa mtoto. Unataka facts zipi zingine labda?
 
Kama kwa vitu vidogo vidogo una kichwa kigumu huelewi, je, nikileta ripoti na articles za researchs utaelewa?
 
Facts nimezisema: Digestion ya maziwa ya kopo ni ngumu kuliko ya maziwa ya mama, maziwa ya mama yana antibodies ambazo humpa mtoto kinga dhidi ya maradhi, maziwa ya kopo yanalack antibodies muhimu kwa mtoto. Unataka facts zipi zingine labda?

weka evidence,maziwa ya kopo hayana antibodies,na vifo vilivyotokana na kukosa hizo antibodies kwa watoto....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…