Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Naunga mkono hoja yako kwa 100%.Pia mtoto akinyonya maziwa ya mama bila kuchanganya na chochote kwa miezi sita, anakuwa mwenye akili sana, haumwi hovyo hovyo, mchangamfu na mwenye afya nzuri sana. Hawa wanaolelewa na maziwa ya kopo mwisho wa siku wanakuwa kina kaoge, watukutu na spana mkononi magonjwa mara kwa mara.
Maziwa ya kopo hayana kinga kwa mtoto tofauti na ya mama