Ni sahihi kumuacha Mkeo aparangane na biashara za masafa ya Mbali?

Ni sahihi kumuacha Mkeo aparangane na biashara za masafa ya Mbali?

Inategemea tuu mtu anaweza kukusaliti hata kama hatoki nyumbani kwenda kutafuta riziki....

Ila inataka moyo dah...
Hujajibu swali mkuu zingatia swali la mleta mada wewe umeleta alternative means ya yeye kucheat.
 
wanasema katika uislamu mwanamke kazi yake ni kukaa na kujiremba tu.marufuku kufanya kazi
Mmh halafu iwe....
Naomba hela ya kusuka, naomba ya pochi, naomba ya pedi, naomba ya kiatu, mama anashida naomba, naomba....
Basi unazitoa umenuna, unazihesabia mfukoni haha jameni
 
Ndiyo maana nikasema katika wanaume kuna wanaume, wanaume sisi ndiyo tunajukumu la kutafuta siyo mwanamke, sasa kama unaleta hofu ya mambo ambayo yako nje ya uwezo wako na si kazi yako, athari yake ni kuja kumtegemea mwanamke akuletee hela kwa kisingizio kwamba mnatafuta wote, hili halipo na ujinga huu umekuja zama hizi,mwisho wa siku mnafanya kazi mara mbili,ya kwanza ni hii na ya pili nitaisema ikibidi.
You nailed it Manigga thats enough wa kuelewa aelewe tatizo la kizazi cha sasa kina wanaume wengi uchwara sana
 
Back
Top Bottom