Ni sahihi kumuacha Mkeo aparangane na biashara za masafa ya Mbali?

Inategemea tuu mtu anaweza kukusaliti hata kama hatoki nyumbani kwenda kutafuta riziki....

Ila inataka moyo dah...
Hujajibu swali mkuu zingatia swali la mleta mada wewe umeleta alternative means ya yeye kucheat.
 
wanasema katika uislamu mwanamke kazi yake ni kukaa na kujiremba tu.marufuku kufanya kazi
Mmh halafu iwe....
Naomba hela ya kusuka, naomba ya pochi, naomba ya pedi, naomba ya kiatu, mama anashida naomba, naomba....
Basi unazitoa umenuna, unazihesabia mfukoni haha jameni
 
You nailed it Manigga thats enough wa kuelewa aelewe tatizo la kizazi cha sasa kina wanaume wengi uchwara sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…