Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Kutana naye ofisini /sehemu ya ibada
Utasema mwanamke ndiye huyu! Anavyomnyenyekea boss wake, utasema ana heshima Sana. Boss ataulizwa nikupe chai au kahawa? Kuna kitu unahitaji, tabasamu Kama lote. Ushawahi kukutana na wadada wa customer care? Utasema hapa ndiyo penyewe 😁
Kanisani nako unyenyekevu upo sana, tena usiombe umkute kwenye "ibada ya kukanyaga mafuta 😀" akiambiwa vua viatu,anavua Hakuna maswali anatii. Kuna lugha huwezi kuzisikia mwanamke akizitoa kwa pastor wake. Ukikutana naye hapo utasema umepata dodo kwenye mchongoma
WAKIJA NYUMBANI SASA! LORD HAVE MERCY.
ukisikia jinsi mtu anamjibu mme wake utauliza hivi, huyu ndiye fulani wa pale kanisani? Ni unafiki au kitu gani ndugu zangu kwanini heshima mnayoitoa huko msizidishe nyumbani?
Nawasubiri hapa na Fanta pineapple ya Baridi