Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hukutaka kusikia mchango wangu mimi babu mbobezi?😀😀😀kuna wanaume hapo mkuu! Ningependa kusikia michango yao kwenye hili
Kutana naye ofisini /sehemu ya ibada
Utasema mwanamke ndiye huyu! Anavyomnyenyekea boss wake, utasema ana heshima Sana. Boss ataulizwa nikupe chai au kahawa? Kuna kitu unahitaji, tabasamu Kama lote. Ushawahi kukutana na wadada wa customer care? Utasema hapa ndiyo penyewe [emoji16]
Kanisani nako unyenyekevu upo sana, tena usiombe umkute kwenye "ibada ya kukanyaga mafuta [emoji3]" akiambiwa vua viatu,anavua Hakuna maswali anatii. Kuna lugha huwezi kuzisikia mwanamke akizitoa kwa pastor wake. Ukikutana naye hapo utasema umepata dodo kwenye mchongoma
WAKIJA NYUMBANI SASA! LORD HAVE MERCY.
ukisikia jinsi mtu anamjibu mme wake utauliza hivi, huyu ndiye fulani wa pale kanisani? Ni unafiki au kitu gani ndugu zangu kwanini heshima mnayoitoa huko msizidishe nyumbani?
Nawasubiri hapa na Fanta pineapple ya Baridi
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, upande wa pili changamoto hii ipo SanaKatika uislam mke hana ruhusa hata ya kwenda kuwasalimia wazazi wake ikiwa mume wake hajampa ruhusa.
Kwahiyo suala la kumsikiliza sheikh kuliko mume wake hilo halipo, labda Kama mume awe anamuamrisha mke katika uovu hapo sasa mke anayo ruhusa ya kutokumsikiliza mume kutokana na uovu anaolazimishwa kuufanya
My point, kwa nini ile heshima ya ofisini au sehemu ya ibada isiwepo nyumbani! Kuna watu wakifika home unajiuliza Yale mahubiri yameishia wapiHaya maeneo mawili tofauti ni km maji na mafuta daima hayachanganyiki, unapokua ofisi jibidiishe na kazi na unapokuja nyumbani timiza majukumu yako ya nyumbani suala la heshima kwa mke/mume inategemea jinsi mnavyoishi toka awali
Tena sisi ktk dini tumeambiwa kabisa watiini waume zenu na hutakiwi kutoa unyayo wako Hata kukanyaga ardhi ya kibaraza pasi na ruhusa ya mmeoHili huwa halina excuse, kumtii mume ni wajibu sio ombi. Awe na ndevu au kipara as long as ni mume lazma umtii
...wanandoa ni marafiki wanaishi the way watakavyo kutaniana kucheka nk but Boss ni mwajiri wako inabidi uwe mpole kwake kutetea mkate wako wa kila sikuMy point, kwa nini ile heshima ya ofisini au sehemu ya ibada isiwepo nyumbani! Kuna watu wakifika home unajiuliza Yale mahubiri yameishia wapi
Safi Sana hiiWanawake wa kiislam mlioolewa Pepo ziko chini ya waume zenu,jueni hvyo Sio maneno yangu ya vitabu mnavyoviamini
Baba ,mama Wala sheikh Hana mamlaka juu ya mmeo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haujakutana na majibu "mkato",mkuu ni kweli kwamba ni rafiki na utani upo lakini wapo wenye majibu ya mkato mpaka unashangaa. Ila Trust me HAWEZI kumjibu "mkato " bosi au mchungaji wake! Ni mazoea au nini?...wanandoa ni marafiki wanaishi the way watakavyo kutaniana kucheka nk but Boss ni mwajiri wako inabidi uwe mpole kwake kutetea mkate wako wa kila siku
Wanawake wengi miyeyushoTena sisi ktk dini tumeambiwa kabisa watiini waume zenu na hutakiwi kutoa unyayo wako Hata kukanyaga ardhi ya kibaraza pasi na ruhusa ya mmeo
Hata km utafiwa na mzazi wako akisema usiende basi Baki omboleza ndani,a hao wanaume wa kuwafanyia hvyo Kwa Sasa wapo Wachache sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
...hata boss akikufanya kuwa tafiki unaweza mjibu kwa mkato, kinachotokea kwenye ndoa ni yale mazoea kati ya wawiliHaujakutana na majibu "mkato",mkuu ni kweli kwamba ni rafiki na utani upo lakini wapo wenye majibu ya mkato mpaka unashangaa. Ila Trust me HAWEZI kumjibu "mkato " bosi au mchungaji wake! Ni mazoea au nini?