Ni sahihi kumuheshimu boss wako/ Mchungaji/Sheikh /Padre kuliko Mumeo/Mkeo?

Hahaha pastor anahudumiwa kuliko mwenye mali 🀣🀣🀣
Mungu atusaidie kwakweli, wake za wachungaji mioyo wanayo!! Maana kila kondoo anavyomchangamkia mchungaji utaskia "yes, dady "
 
Amina
 
Mungu atusaidie kwakweli, wake za wachungaji mioyo wanayo!! Maana kila kondoo anavyomchangamkia mchungaji utaskia "yes, dady "
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Respect is earned, mzee. Watu watakuchukulia namna unavyowaruhusu wakuchukulie. So basically, shida iko kwako.
 
Alafu mnaowaheshimu sana sio wote baadhi ni WAOVU NYUMA YA PAZIA. Kwenye uhusika wao ndio mnawaona watu. Tena wengine WARUKA NA UNGO USIKU.
 
Respect is earned, mzee. Watu watakuchukulia namna unavyowaruhusu wakuchukulie. So basically, shida iko kwako.
Tujifunze basi kwa wachungaji kuearn respect, maana hili ni janga la taifa!! Mpaka unajiuliza au kaolewa na kanisa?
 
Alafu mnaowaheshimu sana sio wote baadhi ni WAOVU NYUMA YA PAZIA. Kwenye uhusika wao ndio mnawaona watu. Tena wengine WARUKA NA UNGO USIKU.
Watu wanafiki Sana mkuu
 
Tujifunze basi kwa wachungaji kuearn respect, maana hili ni janga la taifa!! Mpaka unajiuliza au kaolewa na kanisa?

Huitaji kujifunza kwa mtu. Jiheshimu mwenyewe, na hiyo inatosha. Kujiheshimu ni kujitoa katika mazingira unayodhani huheshimiki.
 
Kutosimama kama mwanaume kwa wengi means kutokuwa na pesa.
Wanawake wachache sana uwaheshimu waume zao wasio na kitu.
Heshima ni matokeo ya malezi.Kama hakufunzwa heshima kwao huwezi mbadilisha
Usije ukadhani wenye hela hawadharauliwi na wake zao..!!
 
Kwahiyo hawa uliowatag hapa ndio hawawaheshimu waume zao au?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kuna wanaume hapo mkuu! Ningependa kusikia michango yao kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…