Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #21
Hahahahaaa.. ukute mke hana busara atagombana kweli na rafiki yake. Mi sikurupuki. Nakusikiliza nachukua maamuzi mwenyewe.
Sisi mabazazi huwa tunafanya hivi.......
Ikitokea nimemzoza rafiki wa mke wangu, na kisha huyo shemeji wangu akanisema kwa wife....... Basi mimi nitakacho kifanya ni kumwambia wife kwamba huyo rafiki yake ndie anaonyesha dalili zote za kunitega/kunitaka.
Baada ya hapo najua nitakua nimewaletea boonge la ugomvi, then minajiweka pembeni kuwachora tu....tehteehh [emoji23] [emoji13]