Ni sahihi kumwambia rafiki yako mpenzi wake akikutaka?

Ungependa kumwona rafiki yako anaishi na mpenzi asie na uadilifu katika mahusiano? Na ikitokea akagundua ulijua ila huku mtahadharisha juu ya mpenzi wake ata furahia (Chukulia baada ya wewe kumkataa, akaenda kudanga huko akamuambukiza maradhi huyo rafiki yako, wakati wewe ulikua na uwezo wa kumtahadharisha kama si kumuokoa)???[emoji18]
Dah...,afadhali...maana...dah[emoji23][emoji23]
 
Hukuogopa kabisa kumuuzia kesi shemeji yako? ama mlikua mnataka ukamruka mwenzio?
Hahaa " tulikuwa wote tunatakana " lakini yeye ndiye aliyelianzisha ", sijui aliiba wapi namba yangu" akawa ananitumia text whatsapp za kusifia status zangu" namba yake ilikuwa ngeni " nikimuuliza wewe nani" ananiambia usijali wala usiwe na haraka utanijua tu ".. kuna siku moja akanitumia picture yake' nyingine akiwa naked ..dohh salaale " but kubwa zaidi kilicho mfanya mpaka ani convince niwe naye nadhani alikuwa anataka kujua kwanini demu wangu ananipenda", kwa sababu mwenzie alikuwa ni demu mmoja mkali sana ana bonge la shape kama corazon kwamboka". (In short alikuwa ni demu wa level ya juu kiasi kwangu)
 
Nina roho nzuri kweli ila mchoyo wa mapenzi. Sitoki na bwana wa rafiki yangu yeyote. Kuna rafiki yangu ndo tabia yake hii kusema bwana wa mwenzie anamtaka. Akimjua mwanaume wa rafiki yake lazima kesho aje aseme alitongozwa. Nimechoka kumshangaa ndo maana nikauliza huku kama ni sawa kwa sababu mimi mabwana zake wananitongozaga ila sijawahi kumwambia kwa sababu najua atajisikia vibaya sana maana hapendagi hata nijuane nao ila ikitokea atajishtukia hadi basi.
Kwa hiyo nikitaka utaninyima !!?
 
Kuna kutongoza rafiki zangu na kuna rafiki yangu kudai kutongozwa na mabwana zangu tofautisha. Kwa mfano zinakuja kesi mbili za mashosti kutongozwa na shemeji yao lazima niamini haiwezi kuwa uongo. Lakini shosti mmoja leo atasema katongozwa na bwana wa Rachel, kesho atasema katongozwa na bwan wa Sarah, kesho kutwa anaenda kumwambia Rehema bwana ako kamtongoza Mariam, mtondogoo anaenda kwa Husna anamwambia bwana ako kanitongoza. Hapo utamuamini kweli? Yani kila siku unatongozwa wewe na unasema? hapo hapo yeye akiwa na bwana ake anakwambia ukija kwa bwana angu usivae nguo ya kubana bwana angu atakutaka. Ila yeye akishakutana na bwana ako kesho atasema alitongozwa na hakupenda wakati unaona kabisa anaenjoy uwepo wa shemeji yake.
Kuna rafiki yangu akiniambia kitu kuhusu bwana angu nitaamini ila huyu ameshapoteza imani na sisi marafiki zake. Mtu anaeweza kumtongozea ex wa rafiki yake halafu anakuja kwa rafiki yake anamwambia fulani anamtaka rafiki yangu fulani wakati we ulishaambiwa na ex rafiki yako fulani kaniletea mwanamke. Utaamini kitu kutoka kwa huyo mtu?
Aahhh kumbe, Basi nikawaida na rahisi sana kwa mwanamke kutoa sir juu ya mtongozo alopewa na shemejie kwakua kwanza Inampa sifa mbele ya uyo shost, pili anauwanja wa kujimwayamwaya, Lkn nalo sinisehem ya Kukuonyesha uchafu wa Bwanako??? Mi nadhan kwa mwanamke mwenye uwezo wa Kuhoji , iz ni habar njema kwake na ukiwa na Akili huwezi zichukulia negative tuu.

Unakua na bwana yeye kila sket anatongoza, hajal ni rafikizo,au nan kwako ye nikutongoza..Anakuheshimu uyo?????.

Ona mwanamke kama Zary... Yeye sio tu kuambiwa, bali aliyaona, kisha akaamua kusepa !!! .

Ukiwa na moyo huru. Hutofikiria kama analengo la kukugombanisha.mambo mengine mnaepushwaga na mdudu HIV, ila kwakua mu wabishi mnapuuza puuza.
 
Hao ndo walw wenye wivu. Bora ulimlipua
Hahaa " tulikuwa wote tunatakana " lakini yeye ndiye aliyelianzisha ", sijui aliiba wapi namba yangu" akawa ananitumia text whatsapp za kusifia status zangu" namba yake ilikuwa ngeni " nikimuuliza wewe nani" ananiambia usijali wala usiwe na haraka utanijua tu ".. kuna siku moja akanitumia picture yake' nyingine akiwa naked ..dohh salaale " but kubwa zaidi kilicho mfanya mpaka ani convince niwe naye nadhani alikuwa anataka kujua kwanini demu wangu ananipenda", kwa sababu mwenzie alikuwa ni demu mmoja mkali sana ana bonge la shape kama corazon kwamboka". (In short alikuwa ni demu wa level ya juu kiasi kwangu)
 
Nyooo. Muonw vile. Ngoja nijue umemtongoza rafiki yangu Shunie nitakukata miguu
Teh teh..Shunie wakati wake utafika..Na Shunie sio mtu wa roporopo..Unamla hasemi..

Darling kuwa kwenye mahusiano haimaanishi unakuwa kipofu au hisia zinakata..Tunatofautiana tu Kwenye kuzicontrol..Kama nimemtamani Shunie na naona analika why nisimkule..??..Mi kujidhulumu siwezi aisee.
 
Bby unanitisha. Nikitambulisha mashoga zangu wengine si utawakula wote sasa
Teh teh..Shunie wakati wake utafika..Na Shunie sio mtu wa roporopo..Unamla hasemi..

Darling kuwa kwenye mahusiano haimaanishi unakuwa kipofu au hisia zinakata..Tunatofautiana tu Kwenye kuzicontrol..Kama nimemtamani Shunie na naona analika why nisimkule..??..Mi kujidhulumu siwezi aisee.
 
Kuna kutongoza rafiki zangu na kuna rafiki yangu kudai kutongozwa na mabwana zangu tofautisha. Kwa mfano zinakuja kesi mbili za mashosti kutongozwa na shemeji yao lazima niamini haiwezi kuwa uongo. Lakini shosti mmoja leo atasema katongozwa na bwana wa Rachel, kesho atasema katongozwa na bwan wa Sarah, kesho kutwa anaenda kumwambia Rehema bwana ako kamtongoza Mariam, mtondogoo anaenda kwa Husna anamwambia bwana ako kanitongoza. Hapo utamuamini kweli? Yani kila siku unatongozwa wewe na unasema? hapo hapo yeye akiwa na bwana ake anakwambia ukija kwa bwana angu usivae nguo ya kubana bwana angu atakutaka. Ila yeye akishakutana na bwana ako kesho atasema alitongozwa na hakupenda wakati unaona kabisa anaenjoy uwepo wa shemeji yake.
Kuna rafiki yangu akiniambia kitu kuhusu bwana angu nitaamini ila huyu ameshapoteza imani na sisi marafiki zake. Mtu anaeweza kumtongozea ex wa rafiki yake halafu anakuja kwa rafiki yake anamwambia fulani anamtaka rafiki yangu fulani wakati we ulishaambiwa na ex rafiki yako fulani kaniletea mwanamke. Utaamini kitu kutoka kwa huyo mtu?
Aaahh wa ivo ,sio wa kumwamin..Unless awe na Jini mahaba wa kike. Hapo atakua anatongozwa kweli.
 
Back
Top Bottom