Sisi mabazazi huwa tunafanya hivi.......
Ikitokea nimemzoza rafiki wa mke wangu, na kisha huyo shemeji wangu akanisema kwa wife....... Basi mimi nitakacho kifanya ni kumwambia wife kwamba huyo rafiki yake ndie anaonyesha dalili zote za kunitega/kunitaka.
Baada ya hapo najua nitakua nimewaletea boonge la ugomvi, then minajiweka pembeni kuwachora tu....tehteehh [emoji23] [emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchizi alilia hadi kamasi zikatokaDada kauzu huyo
Acha tu aisee, utakuwa miongoni wasioitakia mema nchiNi bora kumezea tena ukikuta rafiki yako amezama miguu yote miwili kitakachofuata ni kuonekana mchonganishi tu
Ipi hiyo?
kuna mtu mmoja alimwambia rafiki yake kuwa mke si mwaminifu analiwa hovyo..Ungependa kumwona rafiki yako anaishi na mpenzi asie na uadilifu katika mahusiano? Na ikitokea akagundua ulijua ila huku mtahadharisha juu ya mpenzi wake ata furahia (Chukulia baada ya wewe kumkataa, akaenda kudanga huko akamuambukiza maradhi huyo rafiki yako, wakati wewe ulikua na uwezo wa kumtahadharisha kama si kumuokoa)???[emoji18]
Haha naona unatetea chama lenu la wachepukajiSiku zote kizuri unakula la mwenzio, ila kimya kimya.
Sasa kama umeamua kula au uko kwenye harakati za kuliwa kwa nini kumuumiza roho rafiki yako??
Kula au liwa kimya kimya, pangusa midomo.
Jifanye hujala au kuliwa.
Kama hutaki kuliwa, basi kataa kimya kimya.
Biashara ya kulana sio matangazo.
Baby nimeguswa saaana na hilo swala..binadamu wengine siowatu ujue..hawapendi mema yatokee kwa wenzao,so wanaleta uchonganishi.Umeguswa bby.. hahahahahaa. Kweli hata mimi naona ni uchonganishi bora umwambie tu shemeji unavyofanya sio poa ukirudia nakushtaki.
Simwambii,sitaki kuwa chanzo cha ugomvi wao.Nitaacha nature iamue,kama kuachana waachane kwa sababu nyingine,sio Mimi.
Nikimwambia alafu wasiachane hii sura yangu mbaya nitaificha wapi?
Nia ya kumwambia ni nini??
Utabaki na aibu yako.
Embu nikimbushe maana sikumbuki kumla shemeji yangu.
Sasa hapo aibu inaweza kupelekea kuvunja urafiki wakati bado namhutaji rafiki yangu.
Wanamme wanapita tu kumpata rafiki wa dhati ni kazi sana.Ila vile vile kuna kutazama udeep wa mahaba yao.Kama najua rafiki yangu 'hajafika' pengine kwa mbaliiii naweza kufikiria kumwambia.