Ni sahihi kumwambia rafiki yako mpenzi wake akikutaka?

Dah...,afadhali...maana...dah[emoji23][emoji23]
 
Hukuogopa kabisa kumuuzia kesi shemeji yako? ama mlikua mnataka ukamruka mwenzio?
Hahaa " tulikuwa wote tunatakana " lakini yeye ndiye aliyelianzisha ", sijui aliiba wapi namba yangu" akawa ananitumia text whatsapp za kusifia status zangu" namba yake ilikuwa ngeni " nikimuuliza wewe nani" ananiambia usijali wala usiwe na haraka utanijua tu ".. kuna siku moja akanitumia picture yake' nyingine akiwa naked ..dohh salaale " but kubwa zaidi kilicho mfanya mpaka ani convince niwe naye nadhani alikuwa anataka kujua kwanini demu wangu ananipenda", kwa sababu mwenzie alikuwa ni demu mmoja mkali sana ana bonge la shape kama corazon kwamboka". (In short alikuwa ni demu wa level ya juu kiasi kwangu)
 
Kwa hiyo nikitaka utaninyima !!?
 
Kuna kutongoza rafiki zangu na kuna rafiki yangu kudai kutongozwa na mabwana zangu tofautisha. Kwa mfano zinakuja kesi mbili za mashosti kutongozwa na shemeji yao lazima niamini haiwezi kuwa uongo. Lakini shosti mmoja leo atasema katongozwa na bwana wa Rachel, kesho atasema katongozwa na bwan wa Sarah, kesho kutwa anaenda kumwambia Rehema bwana ako kamtongoza Mariam, mtondogoo anaenda kwa Husna anamwambia bwana ako kanitongoza. Hapo utamuamini kweli? Yani kila siku unatongozwa wewe na unasema? hapo hapo yeye akiwa na bwana ake anakwambia ukija kwa bwana angu usivae nguo ya kubana bwana angu atakutaka. Ila yeye akishakutana na bwana ako kesho atasema alitongozwa na hakupenda wakati unaona kabisa anaenjoy uwepo wa shemeji yake.
Kuna rafiki yangu akiniambia kitu kuhusu bwana angu nitaamini ila huyu ameshapoteza imani na sisi marafiki zake. Mtu anaeweza kumtongozea ex wa rafiki yake halafu anakuja kwa rafiki yake anamwambia fulani anamtaka rafiki yangu fulani wakati we ulishaambiwa na ex rafiki yako fulani kaniletea mwanamke. Utaamini kitu kutoka kwa huyo mtu?
 
Hao ndo walw wenye wivu. Bora ulimlipua
 
Nyooo. Muonw vile. Ngoja nijue umemtongoza rafiki yangu Shunie nitakukata miguu
Teh teh..Shunie wakati wake utafika..Na Shunie sio mtu wa roporopo..Unamla hasemi..

Darling kuwa kwenye mahusiano haimaanishi unakuwa kipofu au hisia zinakata..Tunatofautiana tu Kwenye kuzicontrol..Kama nimemtamani Shunie na naona analika why nisimkule..??..Mi kujidhulumu siwezi aisee.
 
Bby unanitisha. Nikitambulisha mashoga zangu wengine si utawakula wote sasa
 
Aaahh wa ivo ,sio wa kumwamin..Unless awe na Jini mahaba wa kike. Hapo atakua anatongozwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…