Ni sahihi kunywa dawa na maziwa mgando (mtindi)?

Asante.Nilimaanisha mtu kunywa maziwa mgando baada ya kumeza vidonge.
 
Wakuu kwema?

Ni sahihi mtu kunywa dawa (Vidonge)na akatumia maziwa mgando?

Asanteni
Baadhi ya dawa hupunguzwa makali eg erythromycin ila baadhi zinakua well absorbed in presence of fats kama mseto na griseofulvin
 
Baadhi ya dawa hupunguzwa makali eg erythromycin ila baadhi zinakua well absorbed in presence of fats kama mseto na griseofulvin
Hii dawa inaitwa FENZA ni dawa anakunywa mjamzito anakunywa kidonge kimoja kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…