Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
kweli ila now days ni kawaida kusikia mwanamke ana mpiga mumeweMwanajeshi ana nini mkuu? Ngumi na ujeshi havihusiani kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli ila now days ni kawaida kusikia mwanamke ana mpiga mumeweMwanajeshi ana nini mkuu? Ngumi na ujeshi havihusiani kabisa
Yaani akikulaza Chini yeye akawa juu, utaipata fresh 🙌Wanawake wanene wengi wanajua kupiga miili inawabeba.
Wanaume wanaopigwa na wake zao machoko haokweli ila now days ni kawaida kusikia mwanamke ana mpiga mumewe
Na ujeshi wake atafyata tu, ukimgusa analegea.🤣🤣 wachache wanatambua ilo
😂 itabidi tu ufanye hivyo maana hakuna namna nyingine.Yaani akikulaza Chini yeye akawa juu, utaipata fresh 🙌
Utapigwa makofi hadi uombe msaada Kwa majirani
Sasa Mwanaume utaanzaje kuomba msaada? Napigwa jamani, napigwa huku 😜🙌
si mnawalea watoto kishua now days hamtaki watoke nje unafikiri mtoto wa kiume atakuwaje mbeleni?Wanaume wanaopigwa na wake zao machoko hao
Hatari Mkuu 😅😂 itabidi tu ufanye hivyo maana hakuna namna nyingine.
Kuna mzee mmoja alikuwa anabondwa kisawasawa na chibonge wake, watoto wakawa ndio wanatoka nje kupiga mayowe ya kuomba msaada mama anampiga baba 😂
Mwanamke mnene vile siwezi oa, sio kwa kuhofia kipigo ila sio chaguo langu.Hatari Mkuu 😅
Kwa kweli inahitaji ujasiri kuweza Kuoa Mke mnene kama alivyo yule Asha Boko 🙌
Yaani muda wote unatakiwa kumfanya afurahi tu, vinginevyo ukimuudhi unajua kitakachokutokea 😜🙌
Mimi pia siwezi kuoa Mke wa hivyo😜Mwanamke mnene vile siwezi oa, sio kwa kuhofia kipigo ila sio chaguo langu.
😂 hao wakikasirika si wanaweza kuimba usiku kucha kama tuonavyo kwenye muvi.Mimi pia siwezi kuoa Mke wa hivyo😜
Japo niliwahi kudate Mhindi mmoja hivi alikuwa na 130kg halafu Mimi niko na 65kg miaka ile ya Ujana
Nilidownload hadi dictionary ya kihindi kabisa ili kujua anachokiongea, maana Siku akikasirika basi ataongea kihindi Siku mzima hadi hasira zake ziishe 😜
Unawasema wanyaki kijanja janja 🤣🤣🤣Kuna baadhi ya Wanawake wameumbwa ni wababe tu kama ilivyo baadhi ya Wanaume wenzetu kuwa wababe Kwa wake zao🙌
Kuna askari mmoja wa jwtz, jirani yetu alikuwa akipigwa sana na Mkewe (Mbabe) mara kwa mara
Kutokea hapo nilijiapizaga nikija Kuoa Mwanamke mnene Mimi, labda sio Grahams Mimi 🤗🙌
Maana jamaa Mkewe alikuwa mnene kaenda hewani halafu ndiyo Mbabe 🙌
Hao ndiyo sithubutu hata Kwa bahati mbaya, bora nizeeke Singo kuliko Kuoa Mnyaki🙌Unawasema wanyaki kijanja janja 🤣🤣🤣
Wangu ilikuwa akikasirika basi ataongea mno, ugomvi wetu ilikuwa wivu kupitiliza😂 hao wakikasirika si wanaweza kuimba usiku kucha kama tuonavyo kwenye muvi.
Profile yako imesheheni haswa hadi wahindi 🙌 siwezi date mhindi.
Na punjabi dictionary pembeni😂Wangu ilikuwa akikasirika basi ataongea mno, ugomvi wetu ilikuwa wivu kupitiliza
Akiona chats za Mwanamke yeyote basi anahisi nachepuka naye 🙌
Kuna wakati umejiandaa kwenda kula good time, ile umepiga cha kwanza unataka kurudia cha pili anaanza kukusomea mashtaka basi mtagombana hapo hadi asubuhi
Na bila kutumia mbinu utaishia kupiga hicho hicho kimoja, kwahiyo ili uendelee akilala basi unamlia timing akija kushtuka anakuta imoo 🏃🏃🏃
Hatari Mkuu 😅Na punjabi dictionary pembeni😂
We mzee wewe hatari sana.