Ni sahihi kusema CCM Tarehe 29 Oktoba 2025 ndiyo iliyoua watu?

baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.
hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
Yes! If A=B and B=C, then A= C
Logical deduction inatwambia hivyo
 
baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.
hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
Ratiba iwekwe mapema ya namna ya kumbukizi hii ya majonzi
 
Watu wote walio mwaga damu au kushiriki na hata walio shuhudia umwagaji wa damu pasipo kuchukua hatua yoyote wana cha kuwajibika. Hilo ni tatizo ambalo kwa kawaida watu wanaweza beza
 
CCM haiwezi kujiwajibisha
 
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.

hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
Yeah ni sahihi kabisa maana hata nani nani chacha kasema polisi na kila kitu chenye mashine za moto ni mali yao
 
baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.

hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
Sahihi
 
Back
Top Bottom