passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Yes! If A=B and B=C, then A= Cbaada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.
hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
SUREYes! If A=B and B=C, then A= C
Logical deduction inatwambia hivyo
Ratiba iwekwe mapema ya namna ya kumbukizi hii ya majonzibaada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.
hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
SURERatiba iwekwe mapema ya namna ya kumbukizi hii ya majonzi
CCM haiwezi kujiwajibishaWatu wote walio mwaga damu au kushiriki na hata walio shuhudia umwagaji wa damu pasipo kuchukua hatua yoyote wana cha kuwajibika. Hilo ni tatizo ambalo kwa kawaida watu wanaweza beza
ina maana CCM ipo tayari iwaue watu ili iendelee kutamalakiNdo ukweli wenyewe
wapo tayari kuua ili chama kiendelee kuongoza nchi.Chama Cha Majinjachinja
Wana taahira ya akiliwapo tayari kuua ili chama kiendelee kuongoza nchi.
kwamba wapo tayari kuanzisha hata vita ili waendelee kubaki madarakani?basi tunaishi kwenye nchi hatari sanaCCm ndio italeta vita nchi hii nilishasema sana huko nyuma.
havipo huru wakuu wa hivyo vyombo wanawekwa na ccm.Si sahihi kusema CCM ndo inamiliki vyombo vya dola wakati vipo huru
Yeah ni sahihi kabisa maana hata nani nani chacha kasema polisi na kila kitu chenye mashine za moto ni mali yaobaada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.
hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
Sahihibaada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.
hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.