NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Apr 10, 2023 #21 Sexless said: Vyombo vya usalama ni sehemu ya ccm. Ccm ni chama-dola. Click to expand... Tumeamua kiwe chama dola coze tangu mwanzo ccm haikuwepo ilikuja baadae kwa hiyo dola ilikuwepo kabla ya CCM hivyo tukaamua ccm iwe SEHEM ya dola!!!
Sexless said: Vyombo vya usalama ni sehemu ya ccm. Ccm ni chama-dola. Click to expand... Tumeamua kiwe chama dola coze tangu mwanzo ccm haikuwepo ilikuja baadae kwa hiyo dola ilikuwepo kabla ya CCM hivyo tukaamua ccm iwe SEHEM ya dola!!!
std7 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 2,293 Reaction score 3,928 Apr 10, 2023 #22 Kama taifa tulikuwa na maadui watatu ujinga maradhi na umasikini Kwa sasa ameongeze adui mwingine wa nne CCM mlezi wa ufisadi wizi rushwa na ubaya wa kila namna Ni ngumu taifa kuendelea tukiwa na chama kama CCM cha ulaji na uchawa.
Kama taifa tulikuwa na maadui watatu ujinga maradhi na umasikini Kwa sasa ameongeze adui mwingine wa nne CCM mlezi wa ufisadi wizi rushwa na ubaya wa kila namna Ni ngumu taifa kuendelea tukiwa na chama kama CCM cha ulaji na uchawa.