Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okayKuna sehemu moro mbele ya samaki samaki inaitwa tiktok ni pub
ok sawa, nimeelewaBiashara za mtaani sio mbaya halafu sidhani kama hayo majina yamesajiliwa na mamlaka husika..Kwa international business lazima ilete shida.(sio sawa kutumia hayo majina)
KISHERIA haina impact lakini?tumia ila ongezeaa hata nucta mbele au acha nafasi mfano facebook -(face book,facebook. )
Kuna Bar zinaitwaHabari.
Hivi ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara? Mfano FACEBOOK PUB au FACEBOOK LOUNGE au FACEBOOK BAR.
Kisheria imekaaje?
Facebook naona ya kizamani sana afu dizain kama ya watoto
Hapo unakua tayari ushakwepa mtego wa hati miliki ya hilo jina..KISHERIA haina impact lakini?
ha ha haWawe creative, watunge majina yao, ata ya kilugha, kuiga iga tu.
Kibongobongo poa tu....Kuna mchaga mmoja mabasi yake nayo ni KLM 🙂Habari.
Hivi ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara? Mfano FACEBOOK PUB au FACEBOOK LOUNGE au FACEBOOK BAR.
Kisheria imekaaje?
Chukua Id mojawapo hapa jf utapata jina la biasharaha ha ha