Ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara?

Ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara?

Mkuu kwann usiite X maana ndio mtandao wa wasomi na wenye viela Facebook ya kishamba labda kama uko uswahilini
 
Wawe creative, watunge majina yao, ata ya kilugha, kuiga iga tu.
 
Habari.

Hivi ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara? Mfano FACEBOOK PUB au FACEBOOK LOUNGE au FACEBOOK BAR.

Kisheria imekaaje?
Kibongobongo poa tu....Kuna mchaga mmoja mabasi yake nayo ni KLM 🙂
 
Back
Top Bottom