Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kofia lazimaHabarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
Yamekukuta yepi?Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
Mie naona Tanzania inarudi nyuma kimaendeleo. Hivi vitoto vya JF vinaleta nyuzi nyingi pumba tupu, sasa na hii kweli ni thread ya kuleta ijadiliwe na great thinkers??? Vyuo na shule nyingi za bongo zinazalisha wapumbavu na wajinga wengi halafu vinalalamika hamna ajira!!! mtoto wa miaka 10 wa US anayashinda kiakili haya ma vilaza ya JF yenye kuleta nyuzi kama hizi...Jitu lenye akili na makende yake linakaa kuandika huu upuuzi ......nyanokoo.
Miaka ya nyuma ilikuwa ukiingia JF unakutana na Habari motomoto, makala ya kusisimua..
Kuna vitu vilikuwa vinaanza JF baada ya siku kadhaa vinalipuka huko..
Ilikuwa ukipata wasaa wa kuongeza maarifa basi unaingia JF
Ila siku hz kumekuwa na wimbi la baadhi wachangiaji wa hovyo kabisa
Ingependeza moderator wawe wanachuja baadhi ya threads kabla ya kuzipeleka hewani
Mtoe na Nguo mkuuKanisa la kweli huingii na viatu Wala hakuna madawati.
Na mjivishe na mabomuMtoe na Nguo mkuu
Kabisa 😂 🎧Na mjivishe na mabomu
Tulia we Pasco mayalaMie naona Tanzania inarudi nyuma kimaendeleo. Hivi vitoto vya JF vinaleta nyuzi nyingi pumba tupu, sasa na hii kweli ni thread ya kuleta ijadiliwe na great thinkers??? Vyuo na shule nyingi za bongo zinazalisha wapumbavu na wajinga wengi halafu vinalalamika hamna ajira!!! mtoto wa miaka 10 wa US anayashinda kiakili haya ma vilaza ya JF yenye kuleta nyuzi kama hizi...Jitu lenye akili na makende yake linakaa kuandika huu upuuzi ......nyanokoo.
Ukiwa hapa kwetu, ukivaa hivyo vitu utaonekana umeenda kinyume na matakwa ya imani. Lakini ukiwa nchi za magharibi, hakuna mtu atakayeshangaa ukivaa vitu hivyo maeneo ya ibada!Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
Twende taratibu. Je, kuna mavazi yanayofaa na yasiyofaa church? Majinsi na raba ni sahihi kuvaliwa church?Mie naona Tanzania inarudi nyuma kimaendeleo. Hivi vitoto vya JF vinaleta nyuzi nyingi pumba tupu, sasa na hii kweli ni thread ya kuleta ijadiliwe na great thinkers??? Vyuo na shule nyingi za bongo zinazalisha wapumbavu na wajinga wengi halafu vinalalamika hamna ajira!!! mtoto wa miaka 10 wa US anayashinda kiakili haya ma vilaza ya JF yenye kuleta nyuzi kama hizi...Jitu lenye akili na makende yake linakaa kuandika huu upuuzi ......nyanokoo.
Huwezi kimbilia kujadili mambo makubwa na haya madogo hujayaweka sawa.Miaka ya nyuma ilikuwa ukiingia JF unakutana na Habari motomoto, makala ya kusisimua..
Kuna vitu vilikuwa vinaanza JF baada ya siku kadhaa vinalipuka huko..
Ilikuwa ukipata wasaa wa kuongeza maarifa basi unaingia JF
Ila siku hz kumekuwa na wimbi la baadhi wachangiaji wa hovyo kabisa
Ingependeza moderator wawe wanachuja baadhi ya threads kabla ya kuzipeleka hewani
Yaani unaita nanilii kanisa?Kanisa la kweli huingii na viatu Wala hakuna madawati.