Ni sahihi kuvaa jeans na raba Kanisani?

Ni sahihi kuvaa jeans na raba Kanisani?

Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
pascal mayala alishasema hizo unazoziita pumba kuna wenzako zinawafaa kwa hiyo acha ushamba sista
 
jeans ni kitambaa cha kufunikia magari dubai kuna vitambaa vya lee na wrenglar vyote ni vya kufunikia magari pia jeans ni nguo za kazi marekani ni sawa ma coverroll
 
Watu wanaenda kanisani na vimini vinampasuo hivi hamuoni aibu nyie wagalatiya mnakanyaga madhabahu na viatu mtu katoka navyo chuoni kakanyaga mavi na mikojo kweli kusoma sio kuwa na akili
 
Mie naona Tanzania inarudi nyuma kimaendeleo. Hivi vitoto vya JF vinaleta nyuzi nyingi pumba tupu, sasa na hii kweli ni thread ya kuleta ijadiliwe na great thinkers??? Vyuo na shule nyingi za bongo zinazalisha wapumbavu na wajinga wengi halafu vinalalamika hamna ajira!!! mtoto wa miaka 10 wa US anayashinda kiakili haya ma vilaza ya JF yenye kuleta nyuzi kama hizi...Jitu lenye akili na makende yake linakaa kuandika huu upuuzi ......nyanokoo.
Duniani hakuna swali la kijinga.Mjibu.
 
Back
Top Bottom